Kwanini bodi ya mikopo haiendi kudai Misikitini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,315
2,000
Imeripotiwa katika gazeti la Mtanzania kwamba bodi ya mikopo itawatafuta wadaiwa wake hadi majumbani, kwenye nyumba za starehe na makanisani.

Najiuliza kwanini makanisani tu na siyo na misikitini? Au misikitini hawaingii hao wadaiwa?!!
 

Aadilu

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
647
250
Tunaoingia Msikitini hatutaki madeni, deni ni dhima kubwa ukifa nalo, tunajisalimisha kwa kupeleka majina yetu wakate kwenye.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom