Kwanini binadamu ni wagumu sana kuchangia mambo ya kidini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini binadamu ni wagumu sana kuchangia mambo ya kidini??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mujumba, Mar 8, 2011.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mchungaji alikuwa anafanya harambee ya ujenzi wa kanisa,waumini wakatoa jumla ya 75,000/=.wakaja watekaji wakateka kanisa na wakachukua fedha zote waumini walizokua nazo na wakapata jumla ya 8milion na wakampa mchungaji afanyie ujenzi huo,sasa cha kujiuliza kwanini hawa watu walibaki na pesa zote hizo mfukoni(It is based on true story)
   
 2. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  DUH,haya kweli yanatokea kwenye michango ya dini
  tatizo nahisi ni hali duni ya maisha,pia watu kutokujua vema somo na maana ya utoaji,na hatubalikiwi kwa kua hatutoi.
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Jee watu wakitoa kila kitu kanisani watakula kwa mchungaji jamani? Zilizobaki mifukoni ni kwa ajili ya matumizi mengine mengi muhimu kama kusomeshea, kula, kupata moja baridi, nk
   
 4. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
   
 5. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka baada ya kuvamiwa na majambazi waliyusachi na kutukuta na shilingi laki 2. Hicho kiasi milioni 8 u ekizidisha sana
   
 6. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tatizo hao viongozi wa dini wetu wenyewe ni wasanii
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Ya Mungu mpe Mungu, Ya Kaisari mpe Kaisari,,, Mungu nimempa roho yangu tayari. Kaisari (maisha) ili kukabiliana naye nahitaji pesa, kujitibu, elimu, kula, kuvaa n.k
   
 8. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  wasanii kivipi mkuu??
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Dini..!! ni biashara bandugu!! there is a big money in God`s business now days.. mimi kama muafrika sina dini
   
 10. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hongera kwa kutokuwa na dini?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,050
  Trophy Points: 280
  Shetani mbabe sAna
   
Loading...