Kwanini bima?

mchagamix

New Member
Dec 6, 2016
2
1
Kwa nn bima?
Naona serekali inatumia nguvu kubwa sana kuhamasisha kila mtz awe na bima ya fya
Kwani isiwe matibabu bure ?
Au kuchangia kwa % Fulani kwa kila mgonjwa
Ni elimisheni kwa nini bima ya afya?
 
Bima ya afya ni biashara mkuu. Wanategemea kupata chochote huko

Lakini bima ya afya inasaidiaga sana mkuu. Ukiichunguza utagundua wagonjwa wananufaika sana japo serekali nayo inaambulia kiasi namna gani vipi.

Kwa sasa sahau habari ya matibabu bure
 
Kwa nn bima?
Naona serekali inatumia nguvu kubwa sana kuhamasisha kila mtz awe na bima ya fya
Kwani isiwe matibabu bure ?
Au kuchangia kwa % Fulani kwa kila mgonjwa
Ni elimisheni kwa nini bima ya afya?
Kodi tunazolipa za kazi gani. Kila kitu ni kulipia. Kama wanasema elimu bure, kwa nini isiwe afya bure?
 
Back
Top Bottom