Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

Kwanini magari "second-hand" ya mchina yanakuwa scrape tofauti na mjapan ilhali wao ni taifa la pili kwa ukubwa baada ya Marekani?
Usilinganishe china na japan interms of ustaarabu na quality of living,japan ni kama wazungu ,wachina ni kama waafrika ustaarabu hawana na kuna masikini wengi sana hawana jeuri ya kuleta magari used huku wakati wenyewe wanayatamani.ile population imesababisha uneven distribution of resources
 
Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka haraka kwa kuangalia tu kwa macho kisha utagundua hizi ninachokisema.
Magari ya polisi nayo yale si mchina..Yapo kama Prado flani nahisi yanaitwa "Foton"
 
Mkuu, tumeanza kutumia gari za Japan muda mrefu sana lakini kwanini hakuna "domestic products" zao madukani/masokoni mwetu?
Hujawahi kutumia SONY, PANASONIC, JVC, PIONEER, SHARP and YAMAHA products? Kama ndio basi jua ni products za kijapani.
 
Usilinganishe china na japan interms of ustaarabu na quality of living,japan ni kama wazungu ,wachina ni kama waafrika ustaarabu hawana na kuna masikini wengi sana hawana jeuri ya kuleta magari used huku wakati wenyewe wanayatamani.ile population imesababisha uneven distribution of resources
Wachina ustarabu hawana tumekuta kuna siku tumekuta wameweka uchafu wa makaratasi,wipes na mabaki ya vifingashio kwenye Cabin ya Mercedes Benz used ilikuwa imetoka China kuja Tanzania.
 
Tukiwa watoto tunapochezea vigari vya kitoto nk tulizoea kusema hii ni 'madeni china' kutokana na wachina kuandika bidhaa zao MADE IN CHINA.
 
Kwanini China aliweza kuteka soko la Afrika kwa "domestic products" lakini soko la magari wameshindwa mpaka sasa?

Magari ya kichina yanakuja? Lini? Kwanini hayakuja sambamba na "domestic products"?
Lazima tujue magari mengi anayotoa mchina ni magari mapyaa na watanzania wengi hawana uwezo WA kununua gari mpya magari mengi ya japani ni used na bei ni ndogo vilevile kampuni kama Toyota nissani magari Yao yalianza kuingia siku nyingi nchini kwaiyo upatikanaji wake wa vipuri ni rahisi sana kingine kumbuka China ndyo kwanza makampuni mengi ya magari yameanza miaka ya 2000 kwaiyo si rahisi magari yake yawe mengi kwenye nchi za Afrika ambazo ununuaji wa magari mapya ni Jambo gumu sababu ya gharama kubwa
 
Mkuu, Aiba ninashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri na wa kueleweka chief.

Sasa mkuu ninaomba kukuuliza swali moja, hivi huko China ambapo kulingana na maelezo ya wadau ni kuwa wananchi wao ni watu wa kipato cha chini ukilinganisha na Japan, wananunua magari mapya ya kichina kwa matumizi yao ya kila siku au wanafanyaje mkuu?
 
Hakika ni imara. Kuna mjomba wangu mmoja anamiliki Cresta GX-100 number "A" ila ukiiona utasema number "D"...
Mkuu naomba DM namba ya Mjomba nimuombe aniuzie hiyo Mashine nazitafuta Sana hizo gari Ila napata zilizochoka harafu Madalali wanaweka Cha Juu nipe niongee nae aniachie hiyo mashine au Kama Kuna yeyote anayeuza Cresta karii anicheck
 
Back
Top Bottom