Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

Kama Mungu hapendi wazembe na wavivu, kwa nini kaumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na wazembe na wavivu?

Yani yeye mwenyewe alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na wazembe na wavivu, hakuumba ulimwengu huo, kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na wazembe na wavivu, halafu anajifanya hapendi wazembe na wavivu?

Huyo Mungu yupo kweli au mnaongopeana tu?
ni kweli mungu yupo , na anatusikiana kutujibu, aliumba ulimwengu huu akatupa akili na ujuzi wa kutambua mema na mabaya , ikiwa alitupa akili hizo , ww kuwa mzembe ni kutokana na kutotumia akili yako aliyokkupa na yale ulioyofunzwa, wewe kuwa mvivu ni kutokana na kutotumia nguvu na maarifa aliyokupa .

nyinyi mnaishia kusema Mungu hayupo lakin mnaamini shetani yupo kwakuwa anajidhihirisha kwenu ,ana majeshi yake wachawi majini, n.k ikiwa mungu atajidhirisha kwetu sisi wanadamu hatutaweza kuishi kutokana na utukufu wake.
 
Mantic? manake nini, ktk responding yangu?? au umekusudia kuropoka tu Mkuu!!..... hilo ni wazo mfu! Pesa siyo mpaka ufungue kanisa la kuzimu,..... unaweza zibua vyoo! na ukapata pesa ndefu tu!! zaidi ukawa Maarufu Mtaani!
Ok
 
Kama Mungu hapendi wazembe na wavivu, kwa nini kaumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na wazembe na wavivu?

Yani yeye mwenyewe alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na wazembe na wavivu, hakuumba ulimwengu huo, kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na wazembe na wavivu, halafu anajifanya hapendi wazembe na wavivu?

Huyo Mungu yupo kweli au mnaongopeana tu?
Kiranga nan kakuambia uzembe ni kitu kibaya au uvivu?
 
Intelligence ina nguvu ndani yake pia, nilishakuambia kila kitu nguvu ipo ambayo kwa lugha nyepesi ndo MUNGU, nikisema energy ina intelligence na maanisha ndan ya intelligence kuna nguvu inayofanya hyo nguvu inapochange to the physical form maumbile yawe yamejipanga Kwenye mfumo maalumu,Tizama nervous system,respiratory system, function of heart, blood capillaries, gravitation force, black holes, solar system.zote hizo huonyesha intelligence ya hali ya juu kabisa ambayo ina nguvu fulani na hyo nguvu kwa lugha nyepesi ndo tukaita Mungu .
Bado hujaeleza energy inakuwaje na intelligence.

Umebumbabumba tu.
 
ni kweli mungu yupo , na anatusikiana kutujibu, aliumba ulimwengu huu akatupa akili na ujuzi wa kutambua mema na mabaya , ikiwa alitupa akili hizo , ww kuwa mzembe ni kutokana na kutotumia akili yako aliyokkupa na yale ulioyofunzwa, wewe kuwa mvivu ni kutokana na kutotumia nguvu na maarifa aliyokupa .

nyinyi mnaishia kusema Mungu hayupo lakin mnaamini shetani yupo kwakuwa anajidhihirisha kwenu ,ana majeshi yake wachawi majini, n.k ikiwa mungu atajidhirisha kwetu sisi wanadamu hatutaweza kuishi kutokana na utukufu wake.
Thibitisha Mungu yupo.

Wapi nimekubali shetani yupo?
 
Ili wachache waifahamu na wawafundishe wengine.
Ingeandikwa kwa lugha nyepesi dunia insigelikuwepo tena,kila mtu angelijifanya mjuaji na asiye tii wala kuwa na hofu ya Mungu.
Kama wachache ndo waifahamu, kwanini inauzwa kwa kila mtu awe nayo? Na wapi kwenye biblia imeandikwa ni kwaajili ya watu wachache?
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Mbona rahisi tuu!
Miaka 100 iliyopita wewe ulikuwa wapi ?
miaka 100 kutoka leo utakua wapi?
Ulipeleka maombiwapi ili uwepo na uwe Me au Ke?
Unajua kwanini hukuwa Punda wala samaki badala yake ukawa Binadamu ?
Ukiumwa sana unakuwa na hisia gani? Mauti siyo ?
Unaweza kukwepa Mauti?
Sasa basi amua Uishi bila Kufa ikiwa hakuna anayesimamia Uhai wako!
Ukiyajua haya ,basi jua kuwa Yuko asiye pitwa na muda wala asiyehitaji uhai wa mwingine ,baliyeye ndio hutoa uhai na Hufishha na Kuhuisha , Huyo ndiye Mungu Usiye mjua wewe
 
na hiyo nguvu kwa lugha nyepesi ndo tukaita Mungu .
Hapana.
Umeburunga kwa kutumia Akili zako tuu wala huna ushahidi popote pale.
Binadamu ni kiumbe complex.
Anamishipa ya Damu,
Mishipa ya fahamu ,
Ana Lymphatic system,
Ana Mifupa, Skeleton system,
Ana Muscular system.
Ana sense organs, na viungo 5 vya hisia.
Haya yote hayakuja kwa kubahatisha, bali kuna aliyepangilia mfumo wake na kuweka utaratibu.
Binadamu ikifeli moja ya Mifumo hii hakuna anayeweza kurekebisha.
Hapo ndipo tunapojua kuwa kuna Kazi ya Kutukuka aliyoifanya Mtukufu aliyetukuka asiyeweza kushindwa.
 
Hakuna lolote kati ya uliyoandika linalothibitisha uwepo wa Mungu.
 
Sikia!!! kwa kizazi cha Nyoka utakesha!!! huwaga havielewi Neno kamwe! hata ukivitwanga ukavifinyanga na ukaviumba upya!! utaumba na upumbavu uleule!
 
Haujaelewa
 
Sikia!!! kwa kizazi cha Nyoka utakesha!!! huwaga havielewi Neno kamwe! hata ukivitwanga ukavifinyanga na ukaviumba upya!! utaumba na upumbavu uleule!
Unatamuaminishaje mtu kupitia MUNGU wa irsael ambae anakasikira then apo apo anatuambia moyo wa mpumbavu umejaa haasira? Ana upendo na huruma na amesisitza msamaha then apo apo yeye asamehi anaua uspo mfuata?
 
Poa endeleeni kuchallengiana kama yupo/hayupo yupoje/hayupoje lakini mjue jambo ambali ni linashikika au practical ni moja[au zaidi IDK]; Mwisho mwishoni nadhani haimati sana unaamini au hauamini yupo alimradi tu ufanye kile anachokipenda. Mungu anapenda tutumikiane, tupendane vitu tunavyovifanya viwe ki-kanuni ya kidhahabu. Atakayejitoa zaidi, ndiyo mzuri zaidi machoni pake. Unaweza kuta mwishoni atheist anayeiishi hiyo[golden rule na hata akajitolea zaidi maishani mwake] ana maisha mazuri sasa na baadae kuliko atakayeimba nyimbo zote za kusifu halafu asitende kwa wema.

Tujiulize mfano wewe [sisi]; Je nani angependa miguu yake itenge siku moja isifanye kazi bali ikae kukusifia wewe mwenye nayo? Ikuimbie wee! Ikushukuru kuiongoza na kuilisha na kuiumba etc?

Au nani angependa mikono yake kila baada ya masaa matatu/matano iache kufanya chochote imuabudu yeye mtu? Moyo je? maana wenyewe hata kama tunalala usiku huwa hauachi kuwatumikia wengine na nadhani hakuna binadamu asiyeupenda moyo wake.......mtumishi wa wote ndiye mkuu kuliko wote hata katika mambo ya kiroho. Mfano angalia kimwili kiungo gani unakiona ni muhimu na ni kipi kinawatumikia zaidi wengine! see? directly proportional!

So mwisho mwishoni wema na matendo mema ni jambo la msingi zaidi, shika sheria unavyotaka lakini sheria hizo zisipingane na kutumikiana eti usitoe msaada fulani kisa ni siku ya kupumzika, au utajichafua, au ni muda wa kusali. Big no kwa Mungu. Au umtenge mtu fulani umuumize hata kama ni otherwise a good person kisa tu amesema hakuna Mungu au mungu wako hamtaki. Big NO!
 
upendo na huruma na amesisitza msamaha then apo apo yeye asamehi anaua uspo mfuata?
Jamani! wajameni!!!....km wangekuwa wanauawa!! Mungu nae mjua si wangekufa weeengi tu!! wa kwanza angekuwa shetani kuuawa! lkn hakumuua tokana na kuwa Mungu ni pendo!....huyo anae ni yupi maana miungu wako wengi!
 
Hakuna lolote kati ya uliyoandika linalothibitisha uwepo wa Mungu.
Ni kwelii kabisa hayo! na uko sahihi kabisa, hujakosea, kwa kuzingatia hili soma..... Psalm 53;1 KJV.... sasa heri ya huyo mtajwa!! lkn sasa kutamka kabisa Duniani kuwa.....halooo!! ni zaidi ya hapo!

kwa Muktadha huo je ujibiwe kwa mtu km huyo??..Jibu unalo!
 
Back
Top Bottom