Kwanini bei ya mashamba vijijini ni ghali kuliko viwanja mijini?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,560
Wakuu,

Mashamba yenye maji ya uhakika au karibu na mito ya kudumu yanauzwa ghali sana kuliko hata viwanja sehemu za mijini /manispaa etc.

Mfano Chekereni - Moshi, Kilimanjaro:

Chekereni ni almost 30 km from Moshi town, njiani kabisa ukielekea Dar es salaam

Ekari 1 ya shamba siyo chini ya 7 million wakati ukiwa na 7 milllion Moshi Mjini unapata kiwanja safi kabisa.

Sasa najaribu kucompare shamba Vs kiwanja then nacompare Chekereni Vs Moshi Mjini.

Ukiwa na pesa ni bora kununua shamba au kiwanja?
 
Chekereni shida ya pale ni kwamba watu wengi wamepaangali, mfno kuna watu kutoka rombo, himo, moshi, nk wote wanatamani sana kuwa walau na ki eneo cha kulima mazao mengine tofauti tofauti ya msimu kma vitunguu nk, kwahiyo lazima kuwe ghari sana kulinganisha na maeneo mengine amabayo mutu hununua kwa kujenga tu
 
Nakushauri utafiti Kama huu wakati mwingine utembelee eneo zaidi ya moja. ndo uje na majibu ya mjumuisho. Na hapa unapotosha jamii tuu, na ung'amuzi wa akili zako unapimika kwa kuku approve wrong hata katika utata wa kipi ufanye Kati ya kiwanja na shamba.

Ukimaliza tafiti kamili, utareta mrejesho hapa. Best regards
 
Hata pikipiki brand ya YAMAHA na HONDA bei yake ni kubwa kuliko ya gari dogo la kawaida

Ndo maana Honda na Yamaha zinahesabika mjini

Sasa mtu atajiuliza hiyo pikipiki tu iweje na bei kubwa kuliko ya gari?

Habari ndo hiyo!
 
Back
Top Bottom