Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

Sasa hiyo sheria itayopatikana kutokana na huo muswaada ita apply retrospectively / retroactively? Yaani itakuwa ex post facto law! Sio fair, sio? Yaani utahukumu watu kwa sheria iliyotungwa baada ya tukio! Haya mambo nilikuwaga nasoma kwenye human rights reports sikutegemea kuyasikia huku kwetu! Jamani, tunaelekea wapi? Wataalamu njooni huku mtuambie. Bashiru kama hii ni kweli, mnavuka mistari man.
 
Kuliko kuwa mbunge kwenye bunge la makondoo ni bora kuuza barafu za ukwaju za Azam. Watu wenye dhiki ndio wanaweza kufurahia hilo bunge linaloburuzwa na jiwe.
Washauri wabunge wako wote toka chadema waache ubunge maana kwa post hii nao ni mafukara tu
 
Ni kweli zilikuwepo hujuma za ccm tangu awali, ila hivi fitina za awamu ya 5 ; mambo hazarani bila aibu ulozi mchana kweupe!?Hata ibilisi mkuu wa giza atawaogopa!
 
Shida ni kwamba ukiandika kwa hisia humu jf utaishia ban ila naamini ili huu upuuzi uishe kunahitajika mifano Kama ya drug cartel za Mexico
 
lengo ni kupita bila kupingwa!!!
Na kisha wanajisifia kuimarisha demokrasia kwa jina la "maendeleo hayana vyama!"
Nakuwa sielewi maana naona tunaelekea kizani na tunakengeuka masharti ya "mabeberu-wahisani" waliotutaka tuwe na vyama vingi....
Kwanini tulikubali na sasa hatuvitaki?
 
Zitto Naona Tena umeanza kuwashika makalio vijana wako wa post zako za Twitter..
Na unawajua Pakuwashika kweli!.

Ila wenye akili hatuwezi Amini Mrejesho wa kikao chochote bila kuona Maandishi yaliyoambatana na Mihuri husika.

Endelea kuwashika tu hao vijana wa ufipa Maana Vichwa vyao Ni vyeupe Mithili ya debe tupu ndo maana kupiga kelele kwao hata Kama Ni ujinga nikawaida.
Aaah NYUMBU mpo wengi kweli.
Nilidhan ungejibu hoja
 
Back
Top Bottom