Kwanini barua ya Waziri Mpango kumjibu Makonda nakala yake ipelekwe kwa Rais na Waziri Mkuu?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,567
50,393
1ADD84FD-CED0-423D-B04E-0FECF46946A2.jpeg

C817C67F-C450-4F47-A5F1-EF62509369AA.jpeg

Kwanini sheria za kodi zisinge angaliwa na Makonda akajibiwa kwa mujibu wa sheria hizo?

Rais na waziri mkuu wanapewa nakala za majibu hayo kwasabb gani? Au ndiyo kuthibitisha kwamba Makonda anaogopwa sana na mawaziri?

Kuna taarifa kwamba tangu atumbuliwe Nape Nnauye baada ya kumuundia kamati ya kumchunguza, Makonda amekuwa akiogopwa kama nyoka aina ya Koboko.

Na kama siyo kwamba waziri Mpango anamuogopa Makonda, je, huo ndiyo utaratibu anaoutumia kuwajibu watu ama mashirika yote yanayoomba msamaha wa kodi?

Source: Cloudtv360..kwenye segment ya mastori ya tauni.

..Ndugu. Hassan Ngoma amesema ana barua ya waziri Mpango ya tarehe 10/03/2018, akimjibu RC Makonda na kwamba nakala zake zimetumwa kwa rais na w/mkuu. Swali likawa kwanyn hao watumiwe nakala? Likaachwa wazi swali hilo bila majibu.
 
Kwann sheria za kodi zisinge angaliwa na Makonda akajibiwa kwa mujibu wa sheria hizo?

Rais na waziri mkuu wanapewa nakala za majibu hayo kwasabb gani? Au ndiyo kuthibitisha kwamba Makonda anaogopwa sana na mawaziri?

Kuna taarifa kwamba tangu atumbuliwe Nape Nnauye baada ya kumuundia kamati ya kumchunguza, Makonda amekuwa akiogopwa kama nyoka aina ya Koboko.

Na kama siyo kwamba waziri Mpango anamuogopa Makonda, je, huo ndiyo utaratibu anaoutumia kuwajibu watu ama mashirika yote yanayoomba msamaha wa kodi?

Source: Cloudtv360..kwenye segment ya mastori ya tauni.

..Ndugu. Hassan Ngoma amesema ana barua ya waziri Mpango ya tarehe 10/03/2018, akimjibu RC Makonda na kwamba nakala zake zimetumwa kwa rais na w/mkuu. Swali likawa kwanyn hao watumiwe nakala? Likaachwa wazi swali hilo bila majibu.
Hii ni aibu kubwa sana kwa Waziri Mpango na aliyemteua
 
Kuna Uzi mmoja humu siukumbuki, nilimjibu MTU kuwa level ya waziri sawa na RC.
RAS sawa na permanent secretary.
Akanibishia ujinga ujinga.

Hapa kama hiyo letter IPO kweli it means Waziri anamjibu mwenzake aliye nae level moja ila anawakopi wakubwa wao.
Hii awamu tutasikia mengi. Lkn mbona awamu zilizopita hatukuyaona haya?
 
Back
Top Bottom