Kwanini baraka zinamiminika Zambia na siyo Tanzania

Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?

Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Hichilema kaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom