Kwanini baraka zinamiminika Zambia na siyo Tanzania

Anatawala kwa haki, hana visasi, hana kinyongo na watesi wake..hana kinyongo na chama alichokitoa madarakani.

Alisema hatutawatesa watesi wetu maana tukifanya hivyo hatutakuwa tofauti na wao..

Ni muwazi na mtu wa Dini sana.....

Lakini Nyuma ya Pazia kwenye utawala wa Lungu Zambia ilikuwa kama Jamhuri ndogo ya China, maana kila kitu walipewa Wachina...Sasa Wazungu wapo kwenye mikakati ya kuirudisha Zambia kwenye himaya yao....
Lungu fisadi ndio tabia za madikiteta
 
Huyo wa Zambia anataka haki zaidi na amepambana kufikia alipo
Wa kwetu alikuwemo kwenye system kwa hiyo hakuna jipya labda abadilishe zaidi

Hata Magu alijulikana dunia nzima mpaka Brazil hata Bangladesh na kote ingawa alikuwa ni zao la humo ila alikuwa na uchungu na system ilivyo
Akaja na mbinu mpya na watu wakafurahi kweli kweli

Ila alibadilika na furaha ya watu akaifanya ikawa kilio kwa wengi na dunia ikamsusa tena

Hata huyo usitegemee atakuwa hivyo mda wote
Magh hajawahi kususwa labda chadema

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
... kwa dunia ya leo kuna phrases tatu za msingi (keywords) kiongozi ukiziishi kwa kumaanisha utaheshimika duniani; DEMOKRASIA, HAKI (za binadamu), UTAWALA BORA. Heshima ya Rais wa Zambia inatokana na phrases hizo, nothing more.
Na nchi huwa inapata baraka ya maendeleo.

Mwenye haki ataishi kwa imani
 
Kila mtu analipwa alichopanda. Rais Samia aliingia kwa mbwembwe akiahidi kuboresha haki za watu, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru ktk vyombo vya kutoa haki kama polisi mahakama na vinginevyo. Aliishia tu ktk midomo.

Haikande Hichilema yeye ametamka bayana na kutekeleza wazi wazi.

Anastahili Pongezi. Ameendelea kuwa mfano wa kuigwa Afrika.
uko sahihi. alitangaza kuimarisha demokrasia hapohapo akamtia mbowe ndani kwa ugaidi wa usd 260. kwamba mbowe alitaka kumuua kiongozi wa serikali (sabaya) ambapo sabaya huyo huyo anamshughulikia kwa uovu......double standard.

Mbele ya wazungu anaonekana kupwaya. haeleweki anasimamia nini.
 
Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?

Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Kwani tunaambiwa li - movie la ROYAL TOUR ndiyo mbadala wa kuipaisha Tanzania, au la yenyewe imegoma..?
 
Mama alipoanza kukamata wapinzani na kusema magaidi ndio aliharibu mwanzo alianza vizuri ila kamata kamata ya wapinzani ka jiwe wakishirikiana na police kumemchafulia sana cv aisee ajifunze kwa mkwere jinsi alivoishi na wapinzani na kuwa influential kimataifa aachane na script ya jiwe ya kutesa wapinzani hovyo.
 
Pm ndiye master maind wa hayo yote ila cha ajabu chifu ndiye anaebeba lawama
 
Hakuna alojali sijui mananke sijui nininini walaaa!!
Haki huliinua taifa, tumtangulize Mungu kivitendo
 
Tuliwambia anayegombana na Mbowe hawezi kubaki salama. Hata Jpm aliogopa kabisa akawa anafanya kwa kificho.
Unaongea hivyo kwa sababu upo uraiani ila mwenzio yuko kule ambako sio salama halafu wewe mkuu unasema atakayegombana nae hawezi kubaki salama.

Ni sawa na suala la Lissu,kuna watu wanaona Lissu ndio kashinda pambano lake na Magufuli ila hawawazi kuwa mwenzao katiwa kilema cha maisha.
 
Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?

Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Kupakatwa na wazungu sio Baraka mkuu

Kabla ya symbion tulipakatwa sana

We are better now
 
Wale mabalozi wanao hudhuria kesi ya Mbowe wana zi-feed nchi zao kila kitu, kuwa Chief Hagaya si mwanademokrasia wakweli bali ni mwigizaji
Mambo mengine bwana!! Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Taifa letu lina endeshwa na Balozi za nje Chini au? Mara ngapi Serikali ya Merikani kwa mfano iliwahi kukaribisha Mabalozi wa Afrika waliyopo Washington DC kwenda kuhudhulia kesi za kisiasa huko Guantanamo Cuba kuona kama hao wanao pachikwa jina la u- terrorists/magaidi wana hukumiwa kwa haki.
 
Tuna mitanzania mijinga sana

I naamini bila mzungu endorsement hatupo sawa…. Ni mitunwata fikra na mimaskini ya akili
 
Back
Top Bottom