Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,322
Wakuu. Usafiri wa kisasa wa dart umeshaanza jijini dsm lakini binafsi nashangazwa kuona bado kuna idadi kubwa ya watu wanatumia usafiri wa zamani wa daladala.
Hii ni dalili kuwa bado daladala zinakidhi mahitaji za makundi fulani ya watu.
Swali langu ni kwann bado watu wanapendelea usafiri huo wa zaman wa daladala? Na je ikitokea zikaondoshwa kama ilivyosemwa, makundi haya yanahudumiwa vipi?