Kwanini Bakhresa Food Products Ltd hawajazalisha mikate?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
996
826
Nimezunguka karibu maduka manne asubuhi na jioni kutaka kununua Mkate unaotengenezwa na BFP Ltd bila mafanikio, jibu nililopata kutoka kwa muuza duka "Kiwanda kimeishiwa na Sukari"

Hivi zile Bilioni 10 walizoweka kama dhamana Serikalini wamekwisha rudishiwa? Kama mtakumbuka taarifa zilishawahi kufika Bungeni?
 
Mikate ni najis na haram kwenye hadith
 
Kiongozi kwani tunabishana! Hapa hatubishani toka Jumatano(24 /10/2019) kiwanda hakijazalisha hapohapo Kipawa unaposema wewe, "ULIZZHA UTABHAINHI"

Mikate Ipo Mingi Sana Tshs 1500/=
Anzia Hapo Airport Wana Kiwanda
 
Back
Top Bottom