Kwanini baadhi ya Watumishi wa Serikali hawataki kupanga foleni kwenye huduma za kifedha?

aAllen

Senior Member
Jun 19, 2016
163
250
Yaani mtu akijua pay imetoka na anashida ya fedha basi anaamua kuvaa sare hata kama muda huo hayupo kazini kuja bank na kupitiliza mbele bila kufuata foleni.

Mbona wauguzi hawafanyi hiki kitu?
 

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,591
2,000
wapi huko wanafanya huo ujinga?maana hapa town sijakutana na hicho kituko
 

aAllen

Senior Member
Jun 19, 2016
163
250
Kwahiyo mwanafunzi anapomuuliza swali mwl wake,huyu mwanafunzi tumtambue kuwa ana wivu? Usikurupuke ku jibu kabla ya kuelewa kilichoandikwa!!

Hapo limeulizwa swali...ila ww umejibu kwa asira. Au na ww Askari? Kwani ungejibu tu kuwa sheria ziko hivyo kuwa askari aruhusiwi kupanga foleni bank ingetosha sana!!!... Sasa hapo neno wivu la nini?..

Mfano mwanafunzi anaweza kuuliza hili swali kwa mwl "mwl napenda kufahamishwa kwanini askari wetu huwa hawapangi foleni bank" mwl atajibu sheria za nchi yetu haziwaruhusu wao kupanga foleni(hili ni jibu zuri) ila mwl huyu angejibu we mwanafunzi mi nahisi ni wivu tu unakusumbua kama vp mwambie na mzazi wako awe anavaa sare za jeshi ili asipange foleni...kwa jibu hili huyu mwl ataonekana ni MPUMBAVU kama ulivyotumia ww upumbavu kujibu swali hili
 

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
17,622
2,000
Yaani mtu akijua pay imetoka na anashida ya fedha basi anaamua kuvaa sare hata kama muda huo hayupo kazini kuja bank na kupitiliza mbele bila kufuata foleni. Mbona wauguzi hawafanyi hiki kitu?
Yaani nipange foleni muda mrefu halafu uje uone hela nilizochukua ni kama bili ya bia baa?Tuheshimiane mkuu!😂😂😂😂
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom