Kwanini baadhi ya watu wakianza kupata mafanikio au dalili ya mafanikio wanakua na dharau

daud gallus

Member
Dec 2, 2018
10
9
Kuna baadhi ya watu wengi wao wanaotoka kweny familia duni Wakishaanza kupata njia ya mafinikio au wamefanikiwa wanaanza dharau au maringo hat kwa baadhi ya ndugu zao hat jamaa zao ,wengne wanabadil hadi miondoko kabs hat waliowaonyesha njia ya mafanikio wanawadharau.
Hii nlikua nauliza hii inatokana na nn!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fedha inamfanya mtu kujiamini zaidi! hakuna cha dharau hapo! sana sana nyie mliobaki mnaanza kujistukia tu! kama mnadharauriwa vile!

sasa kama wakati sina pesa nilikuwa nakula kwa mama ntilie wali wa 1500/= nikipata pesa za kutosha kwanini niendelee kujitesa! hapana ntaenda kula hotelin! hapo ndo nyie mnaanza oooh anadharau hataki kula na nisisi
 
Kweli kabisaaa mkuu lazima uwe upgrade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaitwa ushamba. Haswa kama ni mara yake ya kwanza kufanikiwa au kushika mkwanja..
Kuna baadhi ya watu wengi wao wanaotoka kweny familia duni Wakishaanza kupata njia ya mafinikio au wamefanikiwa wanaanza dharau au maringo hat kwa baadhi ya ndugu zao hat jamaa zao ,wengne wanabadil hadi miondoko kabs hat waliowaonyesha njia ya mafanikio wanawadharau.
Hii nlikua nauliza hii inatokana na nn!??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia ya mtu huwa inaonekana ata kama hana pesa ndo mana utakuta mtu mwingine anavaa mavazi ya gharama ata kama hana pesa ana azima ata gari aonekane kwahiyo sio lazima uone tabia mpaka awe na hela kwenda bar kila siku
 
fedha inamfanya mtu kujiamini zaidi! hakuna cha dharau hapo! sana sana nyie mliobaki mnaanza kujistukia tu! kama mnadharauriwa vile!

sasa kama wakati sina pesa nilikuwa nakula kwa mama ntilie wali wa 1500/= nikipata pesa za kutosha kwanini niendelee kujitesa! hapana ntaenda kula hotelin! hapo ndo nyie mnaanza oooh anadharau hataki kula na nisisi
Kweli mkuu huwezi kusihi maisha uliyokuwa unaishi na pili kuna inferiority complex ya watu wanaokuzunguka.

Kuna wengine ni nongwa, wivu, na roho mbaya ndo maana wanasema mtu anaringa, japo kuna wengine wanakua na dharau ila sio wote
 
Ushamba hua unachangia kwa kiasi kikubwa sana,utakuta mwingine hata ukimsalimia hakujibu akidhani kuwa anakuonyesha kuwa yeye ni matawi ya juu...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom