Kwanini baadhi ya watu hawali kitimoto?

Huku kwetu kilo ya mbuzi buchani ni 10000, kilo ya ng'ombe ni 8000 na kilo ya kitimoto ni 8000. Chaguo ni lako
 
Kijana wacha ujinga, jiulize tu.....huyo Mungu alikushukia lini na kukukataza wewe kula nguruwe? Usipende kusikiliza hadithi zilizotungwa na watu kwenye vitabu kutishia wenzao, kama Mungu hataki wewe ule nguruwe, believe me atakushukia wewe na kukuonya ila HAWEZI kumshukia mzungu au mwarab na kuwaambia nenda kamuonye baby zu asile nguruwe. Tumia akili zako, dini ni usanii tu, zimewekwa kwa ajili ya kutawala binadamu na ndiyo maana unaona waumini wengi ni masikini na wajinga.
Wewe unaendeleaje huko kwenye ubilionea.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom