Kwanini baadhi ya wanawake wanakuwa na roho ya kikatili?

Kwani hakuna wanaume wanaoua wake zao kwaajili ya mali/ wivu au ukatili tu?
Hakuna wanaume wanaowanyanyasa watoto wa kambo na hata wa kuwazaa wenyewe?

Hiyo ni roho ya mtu na si jinsi KE/ME

ni kweli usemayo na hatukstai, ila kwa % kubwa hufanywa na wanawake hayo
 
Wangekua wanatutongoza basi wasingekua wanafanya huo upuuzi ila kwa kua sisi ndio tunawatongoza na wanaume wengi siku hizi hatufaati hatua za mahusiano mpaka ndoa yan miezi miwili tu kidume unatangaza ndoa kwanini usitolewe kafara????
 
ni jambo linalotesa sana! Nakumbuka nikiwa UDSM, Odong Odwar alikamatwa kupitia kwa girlfriend wake aliyekuwa anamuamini sana kuliko mtu yeyote. Lakini binti huyu bila hatia alimsaliti. Sijawahi kusikia mwanaume katumiwa kumsaliti mke wake. Nadhani ni roho ya tamaa tu.
 
Back
Top Bottom