Kwanini baadhi ya wanawake wana wivu na wanaume ambao sio wapenzi wao?

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
991
1,000
Umeongea point mkuu, hawa viumbe Mungu tu ndo anajua mioyo yao. Ni wachache sana ambao akikukataa amemaanisha. Wengine wanapima upepo tuu, wanasema akikubali haraka utamchukulia malaya vile...
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Mie alinikataa bana kabisa yule Demu na nika jua kweli hanitaki, si nikachukua kitu ingine tena rafiki yake basi! wala hakunionyesha kuwa amenuna basi na mie nikamchukulia poa!! lkn siku moja Denu alie nikataa akaja kunambia demu wako mshamba sana anaongelea mambo mnayo fanya akanambia a to z !!! ok nikamponda tu kumbe rafikiyo mshamba hivi? yakaishia hapo.

siku moja isiyokuwa na tarehe km namtania tu hivi, na kucheka akanambia twende ndani bana weee! si tukaenda ndani kweli, tuka kaa, akasema ..zima taa nikazima taa! Bwana tulale !! wee nilikula mzigo mtamu siku hiyo hakuna tena!! yaani nilishinda na furahaa tyuuuu kazini! hata saa izi niko vizuri nikimuwaza Mary!
 

Rocky2

Member
Nov 9, 2020
79
125
Sipendagi mwanamke kukubali kwa vitendo, huwa naenjoy anavyo hangaika kutoa jibu la mdomo hahahahha mara ntakwambia, lini una muda yaani full mawenge.

Wengine kutoa jibu ni mtihani we jishikie mkono kapige vyombo
uzi huu waliochangia wengi ni watoto hivi wanwke walivyokua cheap bado mnatongoza .uwo muda mnautoa wapi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom