Kwanini baadhi ya wanawake wakijua unawapenda kweli wanakutesa?

Kitu kinatuponza wanaume wengi ni kuhisi wanawake wanataka tuwe 'so caring' kumbe wala hawataki hayo mambo, wewe fuata mambo yako tu, sio unavunja ratiba zako kisa kumridhisha mwanamke usiwe 'nice' kihivyo kwa mwanamke. Wewe fuata mambo yako hadi siku akuambie upo 'selfish' wala usishtuke ukaanza kujitetea tetea, kwanza selfishness ni nature ya mwanaume why ujitetee wakati wanawake wenyewe wanataka uwe natural.

Ila sasa usije ukamfanyia makusudi mtoto wa watu, wanawake ni wazuri sana kwenye kujua mtu anaye fake, so Bro be you, sasa kama ndio 'Mr. nice guy' polee.
 
Wanaona huna plan B kwa hyo hata akikufanyia ubaya huwezfurukuta
Ni muhimu sana kua na backups! Hata ukue na mwanamke unampenda aje yaani, wanadada wa plan B uwe nao kuanzia 2 hata wawe marafiki tu wa kutaniana kimtindo ipo siku isiyojulikana watakufaa.
 
Sasa na wewe kwanini umpende kweli? Kuwa makini na haya mambo ya kupenda penda kweli.
 
Kwa karne hii kuwa kama kinyonga tu badilika badilika kila mwanadamu hapa chini ya jua anapenda aonekane wa thamani kuliko mwenzake hapo ndio huwa wanaume au wanamke wanafeli kwenye mapenz
 
Mkuu punguza kupenda penda ovyo...

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom