Kwanini baadhi ya wanaume hawanyoi nywele za makwapa?

Kwanini baadhi ya wanaume wengi hawanyoi nywele za makwapa na naonaga wengi hawanyoi mpaka zinakuwa nyingi kwanini?
Mwanaume unanyoa makwapa unamnyolea nani?au umefikili n fashen kunyoa sio fashen au sheria ila ni kwa wale ambao USAF unawashinda kama USAF unakushinda nyoa maana znaweza zkawa chaf had rangi yake ikabadlka !!Kwa wanaume ni kawaida kwapa liwe na nywere CIO jeupe kama la dem!! Ila mwanamke ni lazma anyoe cio minywere kaa dume
 
Kwanini baadhi ya wanaume wengi hawanyoi nywele za makwapa na naonaga wengi hawanyoi mpaka zinakuwa nyingi kwanini?
Kwasababu huw hazitoi harufu mbaya sana kam za wanawake ila huw znabadilika rangi tu, sasa ww mwanamke iga usinyoe uone mtaa mzm watahama kw huo uvundo.
 
si umuulize huyo bwana wako kwanini hanyoi wala usikashifu wengine wakati hauna reasearch
 
Back
Top Bottom