Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Hajazaliwa wa kunipiga aisee never kabisa, Mimi natoka na wanaume matured, na sio waliokulia mifumo dume, so huwa Niko makini Sana kwenye selection, wanaume suruali kwangu hawana nafasi
Bila shaka uko single, endelea hivohivo
 
Majority have nothing to offer kwenye mahusiano maana if you can live without him, unafikiria ana Nini kipya chakuongeza kwenye hyo relations, Yes wazazi walijitahidi kwa uwezo wao na tuliona Ila kwenye mahusiano ni big no kwa kweli, our parents gave us everything including love but in relations duh.
Ndio maana nasema unataka kitu kizuri na wewe basi uwe mzuri sio level yako ya Toyo una taka kitu aina ya range au ndege kabisa. Kila mtu awe na kitu size yake ili lawama zife sio daily blaming one side, inakuwa haipendezi

Then it goes down to choices, when you make a wrong choice utaishia kulalama kuwa wanaume au wanawake "hawatoshi". Not all parents gave everything, actually wazazi baadhi wamewafelisha watoto wao, wamefanya watoto kuwa "ombaomba", binti/kijana anashindwa kuishi maisha ya dada wa kawaida hivyo anaanza kuwa ombaomba, na unajua mwisho wa kijana kuwa ombaomba.
 
Ingia mtandao usome bure hyo concept au u Google ni rahisi tu ukisoma kwa kifupi ukirudi hapa utatengua kauli then uwafundishe na wanaume wenzako

lengo la mjadala ni kujadili kwa hoja na watu wote tukajifunza, mimi kusoma kitu na kuelewa ninavyoelewa inaweza kuwa tofauti pia unavyoelewa wewe... ni vyema tukaenda taratibu ili somo lieleweke.. hapa chini ni tafsiri ya feminism kutoka ecyclopedia...

Feminism is a range of social movements, political movements, and ideologies that aim to define, establish, and achieve the political, economic, personal, and social equality of the sexes.[a][2][3][4][5] Feminism incorporates the position that societies prioritize the male point of view, and that women are treated unjustly within those societies.[6] Efforts to change that include fighting against gender stereotypes and establishing educational, professional, and interpersonal opportunities and outcomes for women that are equal to those for men.

Feminist movements have campaigned and continue to campaign for women's rights, including the right to: vote, hold public office, work, earn equal pay, own property, receive education, enter contracts, have equal rights within marriage, and maternity leave. Feminists have also worked to ensure access to legal abortions and social integration and to protect women and girls from rape, sexual harassment, and domestic violence.[7] Changes in dress and acceptable physical activity have often been part of feminist movements.[8]
 
mi mwanamke yeyote ambaye anaweza kufokeana na mumewe huwa namuona hajui sifa za mke bora

mwanamke ambae anataka eye to eye war, ni tatizo

TANGA HAKUNA FEMINISM, WALIWEZAJE?

NDOA IKIVUNJIKA TANGA UJUE NI KIFO KIMEINGILIA KATI
 
Then it goes down to choices, when you make a wrong choice utaishia kulalama kuwa wanaume au wanawake "hawatoshi". Not all parents gave everything, actually wazazi baadhi wamewafelisha watoto wao, wamefanya watoto kuwa "ombaomba", binti/kijana anashindwa kuishi maisha ya dada wa kawaida hivyo anaanza kuwa ombaomba, na unajua mwisho wa kijana kuwa ombaomba.
Even if you make wrong choices instead of kulalama na ku blame mwingine better find a solution kwa issue inayokutesa then accept it, ignore or move on with life. Unapoanguka sio mbaya unanyanyuka unajipuputa then safari inaendelea.
Yes Kuna parent's walishindwa kuwapa watoto wao kilicho Bora, lakini na wewe vile ukupewa kila kitu sio sababu ya kukubaliana na hyo Hali ya kuendeleza umaskini lazima u work hard, sniff different opportunities lazima tu utoke, hasa ukiwa na Nia ya dhati Toka moyoni, maisha haya hayajawahi kuwa rahisi na hata wenye nacho hufanya kazi kwa bidii. Mimi wazazi wangu nawashukuru kwa kunizaa na kunilea mengine napambana nayo mwenyewe kwa kweli.
 
halo Leo wanaume mumefoka Sana jinsi mnavofoka ndio furaha yangu inazidi weeee
Furaha yako inazidi wanaume wanapokuwa emotional? Kwa hiyo haupo kujadili hoja ila kuwafanya watu wawe emotional ili upate furaha! Kuna kitu najaribu kujifunza hapa, hiyo unayojaribu kufanya ni condition ipo kwa baadhi ya watu. Sijaribu kukuongelea wewe in person ilà kwa vile umesema unafurahia mwingine akitokwa povu says something!!
 
lengo la mjadala ni kujadili kwa hoja na watu wote tukajifunza, mimi kusoma kitu na kuelewa ninavyoelewa inaweza kuwa tofauti pia unavyoelewa wewe... ni vyema tukaenda taratibu ili somo lieleweke.. hapa chini ni tafsiri ya feminism kutoka ecyclopedia...

Feminism is a range of social movements, political movements, and ideologies that aim to define, establish, and achieve the political, economic, personal, and social equality of the sexes.[a][2][3][4][5] Feminism incorporates the position that societies prioritize the male point of view, and that women are treated unjustly within those societies.[6] Efforts to change that include fighting against gender stereotypes and establishing educational, professional, and interpersonal opportunities and outcomes for women that are equal to those for men.

Feminist movements have campaigned and continue to campaign for women's rights, including the right to: vote, hold public office, work, earn equal pay, own property, receive education, enter contracts, have equal rights within marriage, and maternity leave. Feminists have also worked to ensure access to legal abortions and social integration and to protect women and girls from rape, sexual harassment, and domestic violence.[7] Changes in dress and acceptable physical activity have often been part of feminist movements.[8]
Sasa si hyo umeandika it's all about Sasa nyie mbona mnafoka kwa Mambo mengine minor issues kabisa out of context kabisa.
Maana Sasa mnasema kujadili kwa hoja huko juu mumeshatukana wee bila sababu hata kutofautiana mtazamo mnaita feminist chah.
Mumeharibu wenyewe mada bana
 
Bora tu inipige chenga Mimi naishi ninavojiskia mkuu, hata dunia nzima ikiwa against me I don't care na hivi sijali mtu kunipa furaha ndio kabisa
Wahenga walishamaliza kwa kusema kujua kwingi mbele giza.. Na aziniae amesimama aangalie asije anguka asiinuke kamwe.. Hata hivyo ni ngumu sana kumuonyesha njia mtu anayejifanya anajua njia huku hajui aendako...
 
Hamna bhana!! Kwa bahati mzuri au mbaya kwangu ni ngumu sana, tena sana kuingia PM za watoto wa kike!! Sisemi sijawahi, nitakuwa muongo na mnafiki lakini ukiona nimeingia PM ya Binti, basi fahamu nimezoeana nae sana!

Na hata ikibidi kuingia PM ya mtu, wala siwezi kusubiria eti kwenye mada kama hizi kwa sababu hiyo kwangu nitaiona kama cheap trap!!

Kuhusu kwamba eti ukifanya hivyo kwa mwanamke wa Kibongo utagongewa tu, trust me, hizo ni hisia zako tu! Kumtandika mwanamke kila siku, kumuonesha how tough you're bado hiyo wala haiwezi kufanya usigongewe!

Na hapa msichanganye mambo! Kusikilizana na mwanamke, kukubali michango yake, kuwa humble and a gentleman kwake; kuwa rafiki yake, kuwa partner wake kwenye maendeleo na mambo mengine kama hayo... yote hayo hayana uhusiano wowote ni uboya!!

Usishangae yule anayejifanya very tough akawa ndie boya zaidi kuliko mtu wa aina yangu!! Usishangae yule anayejifanya tough akawa ndie anagongewa zaidi mke/mpenzi wake, na akijua hakuna anachoweza zaidi ya kurusha ngumi kwa sababu ubavu wa kuacha hana!!

I can handle a woman like an egg lakini sio kwamba mathalani nikithibitisha kwamba ame-cheat ndo nitaanza mambo ya "...sasa mbona unanifanyia hivi lakini..." HELL NO! The difference ni kwamba, wakati wewe unaweza ku-opt kutumia mabavu, kisha ukaendelea kugongewa na kugongewa na kugongewa; binafsi
Kinywaji kingine nakuongeza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom