Usiangalie hii video kama una roho nyepesiView attachment 1272447
Roho mbaya tu na kutothamini uhai wa wengine
Jamaa ana roho ya shetani sio binadamu huyo
Kwani wewe huwezi?
Mi hata binadamu naweza mchuna hivyo .kazi za watu hizo na ameendea kozi kabisa
Noted kaka my apology
Hii biashara ya ng’ombe na butcher wanauweza Wasomali. Msomali atakuwa na zizi Kigamboni. Akitoa ng’ombe mnadani atawaweka zizini mpaka siku ya kuchinja.