Kwanini baadhi ya biashara zilizo karibu na maofisi hufungwa inapofika mida ya lunch?

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Lanchi ya Mchana

EDIT:
Kichwa cha habari [Kwanini baadhi ya biashara zilizo karibu na maofisi hufungwa inapofika mida ya lunch?] sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya kwako mwenyewe ya kuyatoa andika uzi wako. Ukiona huu haufai, ufute, au wasiliana na mwandishi. Jamiiforums ikiwa imeanza kuwa mchapishaji, ituambie, vinginevyo iache maandishi kama yalivyo au ikiyahariri ijitokeze hadharani. How hard is that?
 
We umejuaje kama izo biashara walengwa ni watu wa maofisini

Ndo ujue rate ya hao wateja wa maofisini ni ndogo
 
Hata hiyo aliyefunga ndio ofisi yake, na yeye alikua amebanwa mda huo ndio anatoka kwenda kuangalia vitu vingine alivyokua anataka, hata weekend pia na ww wanaenda shoping ya vitu vingine maana hawauzi kila kitu.
 
Back
Top Bottom