Kwanini Azam hajawekeza kwa Boti za kwenda Tanga, Lindi na Mtwara

Kwa Sasa Mtwara na Lindi huwezi kupata soko kwa sababu kutoka Dsm - Mtwara kwa njia ya bahari kwa kutumia hizo boat za bakheresa ni Zaidi ya masaa 15 Hadi 20hrs, pia ile bahari kuu(deep) Kuna kipindi kinaitwa Kus(upepo wa bahari unavuma kutoka kusini) hiki kipindi huwa ni hatari sana, hata meli kubwa huwa zinaipa habari yake. kipindi hiki huwa kinaanza mwezi Jun mwishoni Hadi Aug. Kwa taarifa yako mtoa maada usafiri wa majini ni kati ya usafiri mbaya zaidi ambao huongoza kwa kuwa tapisha watu na kuwafanya wajisikie vibaya. Hakuna mtu wa kutoka Mtwara au Dar kwenda Mtwara atakae kubali kusafiri na boat kwa masaa yote hayo. Tanga napo sababu hazitofautiani na zile za Mtwara Dar to Tanga ni zaidi ya masaa 8.
 
Kusikokuwa na option ya usafiri wa bahari ni mafia na visiwa vya pemba na unguja.
 
Kwa Sasa Mtwara na Lindi huwezi kupata soko kwa sababu kutoka Dsm - Mtwara kwa njia ya bahari kwa kutumia hizo boat za bakheresa ni Zaidi ya masaa 15 Hadi 20hrs, pia ile bahari kuu(deep) Kuna kipindi kinaitwa Kus(upepo wa bahari unavuma kutoka kusini) hiki kipindi huwa ni hatari sana, hata meli kubwa huwa zinaipa habari yake. kipindi hiki huwa kinaanza mwezi Jun mwishoni Hadi Aug. Kwa taarifa yako mtoa maada usafiri wa majini ni kati ya usafiri mbaya zaidi ambao huongoza kwa kuwa tapisha watu na kuwafanya wajisikie vibaya. Hakuna mtu wa kutoka Mtwara au Dar kwenda Mtwara atakae kubali kusafiri na boat kwa masaa yote hayo. Tanga napo sababu hazitofautiani na zile za Mtwara Dar to Tanga ni zaidi ya masaa 8.
Route hii itumike kusafirisha shehena za mizigo.
 
Vipi ile meli ya Mkapa nayo ilikuwa inakumbana na hizo changamoto!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu lako ni JEPESI SANA...MTWARA NA LINDI ni MKONDO MKUBWA SN...MAWIMBI YAKE YANAHITAJI BOTI MADHUBUTI SN...nadhani ndy maana alishindwa....NILISHAWAHI KUFANYA SEA TIME kwenye moja ya BOTI ZA AZAM za mizigo..kuna siku TULIPATA SAFARI YA MTWARA...ndugu yngu HIZO WIMBI...aisee BOTI LELEMAMA HAIFIKI.....kuhusu TANGA...KIBIASHARA HAIKO VIZURI sababu zipo bus nyingi zinaenda huko kila siku tena kwa Massa machache..ingawa IPO BOTI SEA LINK 1 ambayo inatoka DAR...UNGUJA..PEMBA..TANGA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaendaga na ndege.

Auric Air, Al Salaam (sijui spelling kama nimepatia) na Coastal.
Hivi vindege ukipanda lazima vipite zanzibar, alafu vikiwa pale znz vinakaa kama dakika 30 hivi, vinasubiri abiria wapande, then mnaruka kwenda Tanga. Muda mnao tumia ni kama 3 hours hivi au zaidi. Alafu vindege vyenyewe havinaga choo sasa, ukibanwa na haja utakoma
 
Back
Top Bottom