Kwanini awamu ya tano ajira zimekuwa ngumu kupita wakati wowote ule?

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,113
4,793
Wakuu hivi huu ugumu Wa ajira sasaivi ni MTU Fulani anafanya makusudi au nchi imefilisika?
Tatizo la ajira lilikuepo lakini sasaivi hali imekua very very too much

Nini shida?
 
Screenshot 2018-10-15 11.42.49.png


Chezea wakuu wa dunia...jiwe kabinywa pumbu kaachia...subiri uone the next move....Unakuja na mikwara mikwara hujui dunia ina wenyewe!
 
Kwasababu hategemei kura yako kuingia ikulu 2020.Kwahiyo hana haja yakufanya unayoyahitaji anafanya anayoyahitaji yeye.
 
Picha ndo kwanza tuko episode ya tatu na kuna episode saba huko mbele....tuwe na mikazo tu hatuna namna
 
Makampuni yanahama
Makampuni yanafilisika
Makampuni yanapunguza wafanyakazi
Makampuni yanabambikiwa kodi
Makampuni yanapata hasara no purchasing power
Mpaka hapo kama kijana hujaelewa ile degree tuliyokupa irudishe chuoni.
 
Back
Top Bottom