Kwanini awamu hii wapinzani wanaonekana kuwa wapole na CCM kuwa wakali sana kuliko huko nyuma?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,544
15,217
Wanaongea Kwa ukali na jszba
Wanatisha na kutishana
Wengine wanadiriki hata kuomba wenzao waporwe haki ya kuvuta pumzi.
(mfano clips za bulembo bungeni).

Wapinzani
Kama sio wale waliokuwa wakitokwa povu enzi zile
Wamekuwa kama kondoo
Wamekuwa kama wakina mangi Sina wanapambana passively.

Wamekuwa kama watalibani wakifanya mashambulizi ya kisiasa Kwa kushtukiza ila madhara yake sio ya kitoto.

Nakiri kabisa bibi yangu akijiunga insta leo nakuona clips za kibabe za vijana wa CCM na wabunge kuhusu WB na ZZK atabatilisha slogan yake "sichagui wapinzani Kwa sababu nimeambiwa wataleta machafuko).

Wapinzani msikae kimya au kufanya passive politics leteni maideas, points, creative constructive arguments na hoja nzito.

CCM na nyie mmekuwaje siku hizi mnajaa upepo kirahisi sana. Kidogo tu mtu flani msaliti, afai kuishi, afukuzwe.
Mnatukosesha uhondo wafuatiliaji wa siasa za vita vya hoja za kichwani sio mikononi.

Hii ndio rai yangu mimi matunduizi niliyemdogo na my once nisiyestahili kelegeza gidamu hata za mjumbe wa nyumba kumikumi
 
Ccm sasa hv inakuua kabisa ukipishana nayo mawazo, haijibu tena hoja kwa hoja. Wao wanataka kupiga rungu kila hoja.

Wapinzani wapo kwenye hibernation wanatafakari njia mbadala
 
Namshauri zitto aombe msaada wa siraha huko kwa mabeberu tuwapime uzito hawa wakoromije wanaotunyima hata vitambulisho vya NIDA watu wa mipakani
 
CCM Siku hizi hawajibu hoja, wanajiandaa kuwa interahamwe. Kitu ambacho nashangaa sana ukishaingia ccm unakuwa kama watu wale wanaofuata kukanyaga mafuta, logic na reasoning huwa vinapotea sijui huwa kuna nini huko!!. Kwa mfano huyu kijana Heri James aliyeropoka ugoro jana alikuwa nakaribishwa star tv anatoa hoja za nguvu sasa hivi amekuwa boya. Humphrey Polepole alikuwa mtoa hoja mzuri sana siku hizi hata mtoto wangu wa la sita anamshinda kujenga hoja. The so called Dr. Bashiru Ally naye alikuwa mtoa hoja unatamani kuendelea kumsikiliza siku hizi naye amekuwa ovyo naye anashangilia "ushindi" wa 99.99%. Ndo swali linakuja huko ccm huwa wanabadilisha watu kuwa misukule?
 
Wanaongea Kwa ukali na jszba
Wanatisha na kutishana
Wengine wanadiriki hata kuomba wenzao waporwe haki ya kuvuta pumzi.
(mfano clips za bulembo bungeni).

Wapinzani
Kama sio wale waliokuwa wakitokwa povu enzi zile
Wamekuwa kama kondoo
Wamekuwa kama wakina mangi Sina wanapambana passively.

Wamekuwa kama watalibani wakifanya mashambulizi ya kisiasa Kwa kushtukiza ila madhara yake sio ya kitoto.

Nakiri kabisa bibi yangu akijiunga insta leo nakuona clips za kibabe za vijana wa CCM na wabunge kuhusu WB na ZZK atabatilisha slogan yake "sichagui wapinzani Kwa sababu nimeambiwa wataleta machafuko).

Wapinzani msikae kimya au kufanya passive politics leteni maideas, points, creative constructive arguments na hoja nzito.

CCM na nyie mmekuwaje siku hizi mnajaa upepo kirahisi sana. Kidogo tu mtu flani msaliti, afai kuishi, afukuzwe.
Mnatukosesha uhondo wafuatiliaji wa siasa za vita vya hoja za kichwani sio mikononi.

Hii ndio rai yangu mimi matunduizi niliyemdogo na my once nisiyestahili kelegeza gidamu hata za mjumbe wa nyumba kumikumi
Wanajua ukweli huwa hawashindi kwenye chaguzi
 
Back
Top Bottom