Kwanini awamu hii Viongozi wengi Serikalini wanapenda kufanya kazi mbele ya Camera?

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Wakuu, nimefuatilia kwa umakini sana jinsi viongozi wetu serikalini awamu hii, wanavyopenda kuonekana mbele ya Camera.
Mfano, Kiongozi unataka ufafanuzi wa jambo toka kwa wale unaowaongoza, kwa nn uje mbele ya Camera? Kwa nn usitumie taratibu zilizopo kupeana taarifa (internal communication/mawasiliano ya ndani).
Mwenye sababu afunguke plz.
 
Kwa sababu Teknolojia ipo advanced kuliko wakati wowote huko nyuma
 
Wakuu, nimefuatilia kwa umakini sana jinsi viongozi wetu serikalini awamu hii, wanavyopenda kuonekana mbele ya Camera.
Mfano, Kiongozi unataka ufafanuzi wa jambo toka kwa wale unaowaongoza, kwa nn uje mbele ya Camera? Kwa nn usitumie taratibu zilizopo kupeana taarifa (internal communication/mawasiliano ya ndani).
Mwenye sababu afunguke plz.

Wa sasa ni wachapakazi na wanataka kuonesha wananchi kuwa wako serious na jukumu walilopewa. Enzi za kina Mkapa, Kikwete ilikuwa viongozi hawataki kuonekana jinsi wanavyoiba n walikuwa wakali kweli, wakiona unakuja na camera tu....ulikamatwa na kuitwa mchochezi kisha kusekwa lupango huku ukitolewa kucha na meno bila ganzi.
 
Unanikumbusha watu walivyokuwa wakitumbuana kideoni. Yaani unaongozana na kiongozi kwenda kikaoni na muda wote wa kikao yupo kimya. Ubaya unaanza pindi akiona kideo! Hatare sana hii
 
Baba ndo anataka hvyo afu hata wao kuonekana wanapga kazi ni kuomba media iwatanfaze government that looking for pupolarity
 
Wa sasa ni wachapakazi na wanataka kuonesha wananchi kuwa wako serious na jukumu walilopewa. Enzi za kina Mkapa, Kikwete ilikuwa viongozi hawataki kuonekana jinsi wanavyoiba n walikuwa wakali kweli, wakiona unakuja na camera tu....ulikamatwa na kuitwa mchochezi kisha kusekwa lupango huku ukitolewa kucha na meno bila ganzi.
Wachapakazi waliokosa dira ya kule wanakoenda
 
Wakuu, nimefuatilia kwa umakini sana jinsi viongozi wetu serikalini awamu hii, wanavyopenda kuonekana mbele ya Camera.
Mfano, Kiongozi unataka ufafanuzi wa jambo toka kwa wale unaowaongoza, kwa nn uje mbele ya Camera? Kwa nn usitumie taratibu zilizopo kupeana taarifa (internal communication/mawasiliano ya ndani).
Mwenye sababu afunguke plz.
inaonekana viongozi wa awam hii hawazijui ofisi za waliopo chini yao, unashangaa kiongozi anauliza mapato na atumizi ya halimshauri kwenye mkutano.
 
Wengi hawana elumu ya uongozi, na wengine ni dhaifu kiutendaji, wanataka kuonekana kwa wananchi.
Wengi wamekosa ubunifu Katika kutatua kero za wananchi," wanatumia muda mwingi kudhalilisha wataalam badala ya kuhamasisha maendeleo.!"
Mwalimu Nyerere hakufanya ujinga huu, alionyesha staha kwa anaowaongoza,alitumia jukwa na vyombo vya habari kuelekeza, na kuhamasisha wananchi katika kujitafutia maendeleo.
 
Wa sasa ni wachapakazi na wanataka kuonesha wananchi kuwa wako serious na jukumu walilopewa. Enzi za kina Mkapa, Kikwete ilikuwa viongozi hawataki kuonekana jinsi wanavyoiba n walikuwa wakali kweli, wakiona unakuja na camera tu....ulikamatwa na kuitwa mchochezi kisha kusekwa lupango huku ukitolewa kucha na meno bila ganzi.
Nawale kwenye viroba nakupigwa risasi 16 waliwekewa ganzi? Ufafanuzi tafadhali
 
Back
Top Bottom