Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Nimuda mrefu sasa ATM za NMB Zanzibar hazitoi risiti na hivyo na kuleta usumbufu hasa pale panapotokea matatizo ya muamala. Watumishi wanakuwa wakali wakikutuhumu fedha unazo zilalamikia kuwa umezitoa mwenywe!
Huduma ya kupata risiti kwa muamala ni haki ya mteja na si utashi Benki. NMB TUONDOSHEE kadhia hii kabla ya kurudiwa uchaguzi na msitukate fedha kwa huduma ambayo hatuipati.
Huduma ya kupata risiti kwa muamala ni haki ya mteja na si utashi Benki. NMB TUONDOSHEE kadhia hii kabla ya kurudiwa uchaguzi na msitukate fedha kwa huduma ambayo hatuipati.