Kwanini ASP na TANU ziliungana baada ya kifo cha Karume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini ASP na TANU ziliungana baada ya kifo cha Karume?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WISTON MWINUKA, Jun 4, 2012.

 1. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu ndugu zangu!Leo nimeamua kutafakari nanyi kuhusu suala zito na nyeti kuhusu muungano wa ASP na TANU uliofanyika baada ya kifo cha KARUME.Naomba ikumbukwe kuwa mwaka 1964 muungano wa nchi mbili hizi ulifanyika na lakini vyama vya siasa havikuungana...Haya basi,Hayati KARUME alifikiria nini kutokiweka chama cha ASP katika umoja na chama cha TANU?

  Mwaka 1970's KARUME aliuawa kwa kupigwa Risasi,na baada ya miaka michache ya kifo chake ndipo CCM ikaundwa baada ya ASP na TANU kuungana mwaka 1977...Haaah!hivi CCM iliundwa kwa kuomba KARUME afe ndipo iundwe?Kama sivyo basi nani alimuua KARUME?

  ...JE!hali ya kisiasa ya CCM sasa ni laana za Hayati KARUME na NYERERE?

  Ni maswali magumu, wana JF busara zenu zina hitajika...

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mwenzio le-mutuz kala BAN
   
 3. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kazi kwelikweli
   
 4. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jambo hili ni zito
   
 5. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  sijui hoja yako ni nini, lakini unijbu kwanza kwanini ulizaliwa baada ya baba yako kuzaliwa???? kwa nini ulizaliwa baada ya Karume kuzaliwa?? it is not sahihi kusema viliungana muda huo kwa sababu muda ulifika? kama unanondo ni bora kuweka jamvini na sio kuwa kama unataka kuleta umbeya fulani hivi.
   
Loading...