Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Hili la ushehe ndio linalomponza Maalim ponda kwa sababu kila aina ya ubaya hutupiwa mashehe.

Kwa aliyoyasema binafsi sijaona jambo baya ila cheo chake tu na yupo nje ya bakwata mfumo.

Badala ya zile kauli za fuata maneno yangu usifuate vitendo vyangu, sasa inakuwa shughulika na wadhifa wangu kupitia kauli zangu
Ponda anaonewa kama ulivyosema sababu hayuko na BAKWATA
 
Kauli za udini sio mzuri ndio zinazoleta chuki na uhasama ,Maafsa huwa hawamjamati mtu hivhuv lazima kuna mambo wameyafuatilia na wakaona hayapo sawa kwa mtuhumiwa .
Unaweza kutaja hizo kauli?! Hivi unaishi nchi gani wewe unayosema eti "maafisa huwa hawamkamati mtu hivi hivi"? Are you serious?! Maofisa hawa hawa wa polisi ambao si mara moja wala mara mbili wamekuwa wakionekana kuishabikia CCM hadharani, au maafisa gani hasa?
 
Nyie si mmekubali kuanza kupewa misaada ya kujengewa misikiti na sirikali.,kueni wapole tu kwa manyanyaso yao.
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka...
Je, unataka akamatwe?Atakapofanya uchochezi wa kiwango cha Sheikh Ponda atakamatwa,atakapo toa kauli za kichochezi kama za Sheikh Ponda Atakamatwa, Atakapokuwa na influence kama ya Sheikh Ponda atakamatwa.

Atakapoanza kuhusisha dini yake na siasa na kutumia imani yake kama msingi wa madai yake ya kisiasa kama sheikh Ponda atakamatwa. Atakapokuwa na madai ya msingi kama madai ya Sheikh Ponda kwa hakika atakamatwa.

Hakuna atakayesalia pale atakapokuwa kinyume na watawala na akaonekana ni Tishio kwa maslahi yao au maslahi ya taifa ambaye hatakamatwa.
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka...
Kama amefanya makosa lazima ashughulikiwe alafu pia naona umemtaga Askofu Gwajima kwamba alianzisha vikundi vya kikabila mbona aliitwa kuhijiwa au umejisahaulisha? Usilete udini kwenye Mambo ya nchi ndugu
 
Daah, Waislam mnajua kutukana sana aisee

Ndivyo mnavyofundishwa huko Masjid eeh
Acha chuki!! Chuki zako wala hazitaonesha kwamba wewe ni Mkristo Kindakindaki, sana sana zinafanya uonekane another stupid and idiot Christian of Gwajima Type!!

Na kwa chuki hizo am certain hata Jesus mwenyewe anakuona ni kizazi cha shetani tu!! Nenda kamuone Gwajima kaonane na Gwajima akupe Bible yake ya kipekee inayohubiri chuki!!

Halafu acha upumbavu manake hapa una-argue na mimi; sasa suala la Waislamu linatoka wapi?! Kwani hizo chuki zako zinazotokana na ushetani wako wa kiroho ni Wakristo wote?!

Katangaze Injili ya Chuki iliyoasisiwa na Gwajima lakini baada ya hapa ukianza kuhubiri siasa za kuilaani CCM na Polisi, wenye akili timamu watakuona mnafiki tu!
 
Madai ya Ponda sio ya kupuuza, na Sheikh Ponda sio wa kupuuza. Pia, madai ya waislam hasa yale ambayo hayaondoi maana ya secular state nayo yaangaliwe na kupewa majibu.

INGAWA kutaka Bagonza naye akamatwe ni kwenda mbali sana. Hapa hakuna cha mfumo kristo wala nini. Huwezi linganisha ukosoaji wa Bagonza na waraka Ponda na wenzake! Bagonza anatumia falsafa zaidi ktk ukosoaji wake na anaongea in general terms...hata ukimpeleka mahakamani huenda ukose pa kuanzia.

Waraka wa ponda unaelezea mambo kwa kutaja watu na matukio (ambayo mengine yako mahakamani), na umetoa twakimu ambazo hazina vyanzo rasmi na hivyo kukosa uhalali...na kwa wanasalama watakuambia ni twakimu za kichochezi!!
 
Mnaonekana sio wa maana kwa ujinga Kama huu Sasa Gwajima hapa ameingiaje? Unaacha kujikita kwenye hoja una attack mtu ambaye hata JF hayupo
Angalia ulivyo mjinga!! Hoja ya Gwajima nimeleta mimi, sasa suala la "mnaonekana" linatoka wapi?!Btw, ni nani mwenye akili timamu asiyefahamu chuki na udini wa Gwajima?! Kuna Maaskofu, mapadri, Mitume, manabii na wachungaji wangapi?! Ulishawahi kwanini hoja yake niihusishe na Gwajima na sio mwingine yeyote yule?
 
Back
Top Bottom