Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Watu hujenga dhana pale double standards zinapojitokeza.

Kuna upande hua hauguswi au kwa vile upo connected na mabeberu.
KKKYT- beberu la Germany na hutoa sn misaada

Sasa unaanza kuharibu mada yako nzuri kwa upumbavu wako. Ishia kwenye double standards ambazo kila mtu anaona. Tujadili hayo, sio mabeberu!!
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka...i
Mgombea huru ilishaamuriwa na mahakama tayari. Serikali ikaiambia mahakama itarekebisha kwenye katiba mpya. Suala la tume huru linajulikana waziwazi hata Rais mstaafu Mheshimiwa William Benjamin Mkapa kalizungumzia kwenye kitabu chake cha "My Life, My Purpose".

Iweje utake Askofu Bagonza akamatwe? Hata Sheikh Ponda kakosea kutoa hoja hizo za msingi ikiwemo tume huru na kurekebisha kanuni za uchaguzi mambo ambayo yanalalamikiwa tu na watu wengi? Wewe lengo lako hasa ni nini?

Ni kutaka usawa katika uonevu unaofanywa na polisi kwa raia wasio na hatia au kupinga Sheikh Ponda asikamatwe?
 
Kwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.

Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Askofu akamatwe kwa kosa gani? Umeweka maelezo lakini hujaonyesha kosa ambalo Bagonza amewahi kulifanya linalostahili akamatwe. Hivi mtu akawaambia wenzake waandamane (maana kuwa na wazo la kuandamana sio kosa), halafu polisi wakasema msiandamane,huyo mtu anakamatwa?

Amabcho unashindwa kujiongeza ni kwamba, Askofu Bagonza hakuogopa umande, maandishi yake hutanguliwa na akili ya kukwepa mitego ya kunaswa na polisi, na mzee wetu Ponda maandishi yake hutanguliwa na takbir!...
 
Mama yangu FaizaFoxy unasemaje kuhusu hili? Siku zote umekuwa ukipambana sana juu ya Uislam humu. Mbona katika hili husemi chochote?
Au mahaba yako juu ya serikali dhalimu ya CCM yameshinda yale ya dini yako?
Au sababu Sheikh Ponda amesema msiyopenda kuyasikia? (Tume huru ya uchaguzi)
Tafadhali sema chochote...
Faiza alihongwa kacheo ndo maana kaadimika humu
 
This is a cynical thread ever. Si Sheikh Ponda wala Askofu Bagonza anayestahili kukamatwa na hawa ruthless tyranny state machination!
 
Nifah hivi sheikh Ponda ndo Uislam? Kwa nini akiguswa Ponda mnahusisha na Uislam? Hakosei huyo sheikh? Mara ngapi viongozi wa dini zingine wamesigina na dola,lakini hatujasikia tofauti hiyo ikihusishwa na imani zao. Mjitegemee kufikiri,mstafute huruma kila wakati. Sheikh ni mtuhumiwa,anahojiwa;akionekana anazo hatia,sheria itahusika
Acha unafiki wewe!! Umewauliza swali kama hilo Wakristo wenzako ambao wanachanganya Uislamu na Sheikh Ponda?!
 
Mkuu kwa hili jambo linalo husu imani za mamilioni ya wananchi nafikiri ni zaidi ya siasa, tuwaachie wenye mamlaka.
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka..
 
Bro kanisa katoliki na viongozi wao safari hii rais mkatoliki husikii aakisema chochote japo mambo mengi yapo hovyo ...ni mtu mmojamoja sana yule wa bukoba labda. Na mwamakula ambae si mkatoliki wamejitahidi lakini hawajawahi kamatwa kwanini ponda akamatwe...hii inaleta chuki
Sio kweli.
Aliyewahi kuwa Askofu wa jimbo la Daresalam, Mhasham Kardinali PENGO alikuwa anaisifia Serikali ya Raisi Kikwete hadi akachukiwa na baadhi yenu.
Alitoa kauli iliyosema.

"Raisi Kikwete Kachaguliwa na Mungu"

Wengi mlimchukia hadi alipostaafu kwa kauli hii.
Je Pengo alikuwa dhehebu gani kama sio Roman Cathoric.
Je Kiwete alikuwa dini gani kama sio Mwislamu.

Watu, msio staarabika kila wakati mnaangalia Dini, Ukabila, Rangi, Jinsia, nk, kwenye kila hoja, ndio maana mnakuwa duni kifikra.

Halafu unamlinganishaje SHEHE wa darasa la PILI na ASKOFU mwenye PHD ?
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka...
Sasa akamatwe kwa kuhamasisha Amani ya nchi? Kosa la Askofu ninini?
 
Kama wana akili timamu hao polisi salamu ziwafikie umuhimu wa ku balance acts zao na constitency kwenye kusimamia sheria.

Vinginevyo itakuja siku huyo Sheikh Ponda atapata support kubwa ya waislamu kushinda mategemeo yao. Sio kwa sababu kila mtu atakua anaungana na upuuzi wake isipokuwa huu utaratibu wa ‘animal farm’ polisi wanaoenda nao “all animals are equal, but some animals more equal than others”.
 
Askofu gani kaandika waraka wa uchochezi? Tunafahamu asilimia 80 ya makundo ya kigaidi ni ya waislamu. Sehemu nyingi duniani. Hawa ndo walileta ugaidi n.k sehemu nyingi zimeharibiwa na waislamu magaidi. But wapo waislam wenye roho safi ambao hawapo tayari kuua kwa kisingizio cha dini. Wapo.
 
Kwahiyo waraka wa Ponda unahamasisha vurugu nchini, au?!
Kauli za udini sio mzuri ndio zinazoleta chuki na uhasama ,Maafsa huwa hawamjamati mtu hivhuv lazima kuna mambo wameyafuatilia na wakaona hayapo sawa kwa mtuhumiwa .
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa.

Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka...
Kuvaa nguo nyeupe ni kosa kisheria?
 
Back
Top Bottom