Kwanini asilimia kubwa zaidi ya watu wapo hivi?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,037
Hivi kwanini mtu ukimpa uhuru wa kutosha huwa anazingua either kazini, kwenye mahusiano ama popote ukimpa mtu uhuru kwa asilimia kamwe hawezi kukuacha salama!

Kwa upande wangu nimeamua niwe kauzu hadi siku yangu ya mwisho yaani kazi kazi ukizingua nakuzingua
 
Wafunge kengele kila wanapoenda ujue...kama wale ng'ombe au mbuzi wa vijijini wenye kengele shingoni
 
Hivi kwanini mtu ukimpa uhuru wa kutosha huwa anazingua either kazini, kwenye mahusiano ama popote ukimpa mtu uhuru kwa asilimia kamwe hawezi kukuacha salama!

Kwa upande wangu nimeamua niwe kauzu hadi siku yangu ya mwisho yaani kazi kazi ukizingua nakuzingua
Pia nawewe ni mtu, ndio yaleyale ya kusema binadamu wabaya wakati nawewe ni binadamu
 
Back
Top Bottom