AiseeeTaxi bubu...mchana za njano,usiku nyeupe
Mkuu, haiwezekani hata siku moja kama wewe pia sio mzinzi ukatafute wanawake usiku. Hivyo minadhani wewe na wao nikama ndege wafananao ndiomaana mnaruka kwa pamoja (usiku)Wakuu habari zenu, wakuu sijui ni
Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye hii kazia au na wengine mnakutana nayo
Labda ni mlinzi shirikishi anatafuta panya road.Mwanamke mtulivu atakuwa anarandaranda usiku anatafuta nini?
Nimehamini aisee ukiwatongoza ni maji mara moja lakini balaa lake sasa unajuta, vizinga vyake tu unakipimbiaTaxi bubu...mchana za njano,usiku nyeupe
Hao ni wagumu sana kuwapata nimechoka kuwavizia mpaka muda waende sokoni au watumwe dukaniWenye heshima wako kwenye geti kali usiku
Mbona simple tu
Mi nataka niache sasa kuwafata usiku maana hawavumiliki tabia zao za mizinga, unachukua namba kama leo kesho wanaanza kuomba pesaYan hata mie hii hali inantokeaga sanaa.. Hasa nikiwa mitaa ya sinza, ambiance. Wanawake hunifata wenyew na kunitamkia wazi kuwa wananipenda. Lakn mwsho huniomba pesaa zang tu.. Sas sielewag aise
Mara nyingi napenda kuwafata usiku mchana nakosa sana confidenceUsiku ni muda wa wanga
Sio mizinga tu mkuu, mara nyingi hawa ninaokutana wanakuwa malaya, hawasomeki, walevi kupindukia na ukiwaona siku ya kwanza unaweza kusema umepata Demu descent kumbe malaya lililokubuuMizinga siku hizi ni kila demu labda hilo suala la umalaya
Mkuu shughuli zangu huwa namaliza usiku, na muda ninarudi kwangu nakutatananao njianMkuu, haiwezekani hata siku moja kama wewe pia sio mzinzi ukatafute wanawake usiku. Hivyo minadhani wewe na wao nikama ndege wafananao ndiomaana mnaruka kwa pamoja (usiku)