Kwanini Asilimia kubwa wanawake ninaowapata usiku ni malaya

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Wakuu habari zenu, wakuu sijui ni
Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye hii kazia au na wengine mnakutana nayo
 
Mkuu, haiwezekani hata siku moja kama wewe pia sio mzinzi ukatafute wanawake usiku. Hivyo minadhani wewe na wao nikama ndege wafananao ndiomaana mnaruka kwa pamoja (usiku)
 
Yan hata mie hii hali inantokeaga sanaa.. Hasa nikiwa mitaa ya sinza, ambiance. Wanawake hunifata wenyew na kunitamkia wazi kuwa wananipenda. Lakn mwsho huniomba pesaa zang tu.. Sas sielewag aise
 
Yan hata mie hii hali inantokeaga sanaa.. Hasa nikiwa mitaa ya sinza, ambiance. Wanawake hunifata wenyew na kunitamkia wazi kuwa wananipenda. Lakn mwsho huniomba pesaa zang tu.. Sas sielewag aise
Mi nataka niache sasa kuwafata usiku maana hawavumiliki tabia zao za mizinga, unachukua namba kama leo kesho wanaanza kuomba pesa
 
Mizinga siku hizi ni kila demu labda hilo suala la umalaya
Sio mizinga tu mkuu, mara nyingi hawa ninaokutana wanakuwa malaya, hawasomeki, walevi kupindukia na ukiwaona siku ya kwanza unaweza kusema umepata Demu descent kumbe malaya lililokubuu
 
Mkuu, haiwezekani hata siku moja kama wewe pia sio mzinzi ukatafute wanawake usiku. Hivyo minadhani wewe na wao nikama ndege wafananao ndiomaana mnaruka kwa pamoja (usiku)
Mkuu shughuli zangu huwa namaliza usiku, na muda ninarudi kwangu nakutatananao njian
 
Natoa tu mfano...
Mwanamke ni mzuri sana na anavutia, hana kazi, anamiliki simu ya gharama, anapenda maisha flani matamu matamu....

Kama hao uluokutana nao ni tyoe niluzozitaja hapo, kwa nini asiwe mtu wa mizinga ..?
 
Back
Top Bottom