Kwanini App ya DSTV now inagoma kwenye Smart TV inch32 Ouling?

May 15, 2016
46
13
habari wandugu. naomba wataalamu wanisaidie ni kwann app ya DSTV NOW inagoma kufanya kazi kwenye tv yangu SMART TV INCH32 OULING? pia nisaidiwe kama kuna njia nyingine ya kuitumia kwenye hii TV yangu.
 
Mzee nadhani ni setting tu inanigomea ata mimi kwa tv zaidi ya tano na ikikubali ni sauti na sio picha
 
sijui shida nini ila kuna jamaa alinambia eti inakubali kwenye tv za lg, samsung, hiasence basi
Anakudanganya nadhani hii apps imefungwa kutumia casting na TV kiongozi, nimejaribu kwa TV hizo usemazo na hakuna jipya DSTV wako makini hawatak uwaharibie biashara kiongozi
 
habari wandugu. naomba wataalamu wanisaidie ni kwann app ya DSTV NOW inagoma kufanya kazi kwenye tv yangu SMART TV INCH32 OULING??pia nisaidiwe kama kuna njia nyingine ya kuitumia kwenye hii tv yangu.
Mkuu hio app ni ya os gani na tv yako ni os gani?

Kwa compability nzuri ya Application kuwa na Android tv ni muhimu sana na sio kila tv yenye android inatumia Android tv.

Njia nyengine ya kuitumia ni kununua TV box ambayo itakugharimu around 80k mpaka 200k
 
Mwenye kisimbuzi cha Dstv kinachollipiwa kila mwezi naomba nimpe hera nijiungie kwenye simu kwa kutumia kisimbuzi chake nataka kutumia ktk simu, nichek tuyajenge nibipu nikupigie ktk 0628748898
 
Back
Top Bottom