kwanini anazungumziwa dr.slaa na kikwete pekee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini anazungumziwa dr.slaa na kikwete pekee?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bojuka, Oct 21, 2010.

 1. b

  bojuka Senior Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila kukicha wagombea wanaozungumziwa ni dr.slaa na kikwete .nilisikia kuwa kuna wagombea 9 waliosimama kwa nafasi ya urais. AU NDIO STRIKERS .
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  labda hao wengine wote ni mapandikizi ya ccm.
   
 3. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Umenena vema...
   
 4. p

  pierre JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hivyo pia,kuwa huenda ni mapandikizi ya ccm
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mgombea mwenza wa chama cha NCCR anaumwa. Wamesimamisha mikutano yao na wanatarajia kumleta Dar kwa matibabu akitokea Pemba.
   
 6. p

  pierre JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mod

  Kwenye thread jukwaa la uchaguzi 2010 siwezi kuchangia maana naona kama nimezuiwa inawezekana?
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wame kuwa wengi mno,so wenye uhai ndio wana ongelewa sana,ume msahau na lipumba maana ana ongelewa pia sometimes kama hawa wawili
   
Loading...