Kwanini akamatwe Mbowe, na si Mwugulu, Nape, Msukuma, Bulembo au Samia

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Habari wadau!

Nimeskia kuwa Mbowe kakamatwa kuhusishwa na Yale Steve Nyerere akiyatapika kwenye simu na kukamatwa kwake ni jina kutamkwa katika mazungumzo hayo/

Lakini katika mazungumzo hayo walitajwa hadi makamu wa rais Samia na mawaziri Nchemba na Nape na baadhi ya wabunge kama Musukuma na Bulembo.

Mbona hao hawajakamatwa?
 
Mkuu, Mbowe kakamatwa lini? Nilisikia wakati Mbowe anatajwa pia alitajwa ZZK kuwa walikuwa pamoja na yule kijana aliyekimbia hadi Makao Makuu kumtetea mtuhumiwa. Sasa na huyu ZZK naye atatiwa nguvuni?
 
Hilo swali ni gumu sana kujibu kama hakikisho kuwa Mbowe amekamatwa,na amekatwa kwa hiyo sababu.Hakikisho kwanza.
 
Kama ni kweli....watoto wa ndani kuwaadhibu ni rahisi sana tofauti na Mtoto wa nje.....wanamalizana na wa nje then viboko zaidi vinaweza kuwa vya Mtoto wa ndani
 
Habari wadau!

Nimeskia kuwa Mbowe kakamatwa kuhusishwa na Yale Steve Nyerere akiyatapika kwenye simu na kukamatwa kwake ni jina kutamkwa katika mazungumzo hayo/

Lakini katika mazungumzo hayo walitajwa hadi makamu wa rais Samia na mawaziri Nchemba na Nape na baadhi ya wabunge kama Musukuma na Bulembo.

Mbona hao hawajakamatwa?
Jiulize ni kwanini ni Mbowe na Sumaye tu walinyang'anywa nyumba ya NHC na shamba kwa mbwembwe !!. Nchi ya visasi
 
Habari wadau!

Nimeskia kuwa Mbowe kakamatwa kuhusishwa na Yale Steve Nyerere akiyatapika kwenye simu na kukamatwa kwake ni jina kutamkwa katika mazungumzo hayo/

Lakini katika mazungumzo hayo walitajwa hadi makamu wa rais Samia na mawaziri Nchemba na Nape na baadhi ya wabunge kama Musukuma na Bulembo.

Mbona hao hawajakamatwa?
Taarifa ambazo hazina source binafsi huwa nazichukulia kama hadithi za bunuwasi.
 
Habari wadau!

Nimeskia kuwa Mbowe kakamatwa kuhusishwa na Yale Steve Nyerere akiyatapika kwenye simu na kukamatwa kwake ni jina kutamkwa katika mazungumzo hayo/

Lakini katika mazungumzo hayo walitajwa hadi makamu wa rais Samia na mawaziri Nchemba na Nape na baadhi ya wabunge kama Musukuma na Bulembo.

Mbona hao hawajakamatwa?
Inasemekana ndiye aliyesambaza video hiyo
 
I wish tungekuwa na Rais ambaye anajua Value for money.Haya anayoyafanya Makonda sana yanapoteza muda na kodi zetu.Hakuna cha maana ambacho tutapata hapo.Unless tujue kwamba sasa Mahakama imekuwa chanzo cha mapato ya Serikali.

Na ikiahindwa hizo kesi Serikali. Ijue
Inasemekana ndiye aliyesambaza video hiyo

Naona. Mnatafuta wachawi,wakati nyie wenyewe ndiyo wachawi.
 
Mwisho wa ubaya ni aibu!!! Ifanyeni Tanzania kuwa nchi ya wastarabu - kuwa nchi ya watanzania lkn hiki kinachoendelea iwe kwa CCM au kwa ukawa ni kulipoteza taifa letu.

Wote mmehama toka agenda ya kuwaletea maendeleo wananchi na kuzubezwa na siasa chafu.

Tutawaadhibu siku moja!!!!!
 
Back
Top Bottom