School face
JF-Expert Member
- Sep 12, 2019
- 247
- 406
Kwel asee alafu hao walimu wanakua na kiburi 😂😂😂Jana tukiwa kwenye folen ya kupeleka maombi ya kusimamia uchaguzi mkuu alisikika mwalim mmoja alisema "Hawa wanajisumbua tu kwanza kisheria mahali popote anapoomba mwalimu wengine wote wanawekwa pembeni anapewa mtumishi kwanza"
Sasa kama kigezo ni ualim uku nje tuna diploma na degree zaidi ya 50,000 ambazo ni jobless, kwanini serikali isinge-forcus kuwapa nafasi hawa ambao hawana kazi badala yake inawap watu ambao mwisho wa mwezi wana uhakika wa chochote