Kwanini Airport Hawakagui Vibali vya Kusafiri Kwenda Nje

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,239
4,464
Hii kitu ilikujaga kwa speed sana. Ikala vichwa vya watumishi wa PCCB (Sijui waliliwa kweli!!!)

Jamaa zetu waajiriwa Serikalini, leo na kesho wanahaha kujaza vibali week mbili kabla ya kusafiri ili waruhusiwe kwenda nje. Lakini ajabu, ukienda pale JNIA hakuna sehemu yoyote utakayokaguliwa.

Au nia ya vibali ni ku-monitor tu utokaji nje kwa wafanyakazi?
 
Back
Top Bottom