Kwanini Afrika ni bara masikini na lisiloendelea?

Yeyote mwenye mawazo tofauti na mimi?
Maana wote kama mnakubaliana na nilichoandika 100% ni sahihi.

Leteni mawazo yenu wana JF.
 
Kwa kweli Wakoloni wafanye mpango wa kurudi Africa. Hatuwezi kujiongoza, hatuwezi kujitawala, hatuwezi kuchaguana, tunauana, tunatafuna mali za umma na misaada, hatuwezi lolote. Hatuwezi.
 
Back
Top Bottom