Uchaguzi 2020 Kwanini ACT-Wazalendo wanahimiza sana Wapinzani Kuungana tofauti na CHADEMA ambao wanataka kila Mtu apambane na hali yake tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,464
108,617
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.

Kazi ipo mwaka huu!
 
Labda pawe na muungano wa maandishi, lakini naona pana kitu hapo mbeleni juu ya hata kama wakiungana, hili lilitakiwa mapema sana japo lina faida na hasara kama ilivyo kawaida kwenye mambo mengi kuwa na pande mbili.
 
Nikiwa kama mwana CHADEMA hata 'Members' wote wa JamiiForums hapa wanalijua hili Mimi nadhani Tundu Antipasi Lissu Wetu anatosha sana.
 
Nikiwa mfuatiliaji wa mambo ya Muungano nadhani kuna jambo ambalo kwa wenye kufikiri watakua wameshaanza kuelewa kwanini hali ipo hivyo ila wanao waza wataendelea kubashiri na si kuleta suluhisho la mambo ya Muungano wao kwanini kama upande mmoja una shauku sana na mwingine kama hautilii maanani sana.
 
Chadema inataka maslahi na ACT inataka uhai.

Kama Chadema wakisema NO ushirikiano na ACT, huo ndio utakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la ACT.

Ikumbukwe wote wanashida ya kupata wagombea makini kwenye majimbo yote ya nchi zima.
 
Hebu na waseme, mimi huwatizama kwa jicho la huruma, ngojeni uchaguzi upite ndio Mtajua kusoma a, e, I, o, u
 
Ni ‘kalikulesheni’ za ZZK, mwaka huu akimbize TAL ili 2025 iwe zamu ya Zitto.... ni hesabu nzuri.
 
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.

Kazi ipo mwaka huu!
Wewe kama mtaalam unapaonaje hapo? CCM mpaka june wana wanachama mil 16 mtaji tayari huo halafu wapinzani bado mpaka sasa wanasuasua. Hata kama ningependa washinde lakini sioni dalili. Kitakachotokea watagawana kura tu na kwaachia ccm mwanya. Ni muono wangu.
 
Back
Top Bottom