Uchaguzi 2020 Kwanini ACT-Wazalendo wanahimiza sana Wapinzani Kuungana tofauti na CHADEMA ambao wanataka kila Mtu apambane na hali yake tu?

Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.

Kazi ipo mwaka huu!
Wote akili zinaendeshwa na njaa + tamaa ya madaraka na sio kuwatumikia watanzania.
 
Cha msingi wewe jua ACT na CDM watashirikiana kwenye baadhi ya maeneo kuangamiza joka la kijani
Janga la kitaifa
FB_IMG_1572697051230.jpg
 
Zitto ameshapiga hesabu Kwamba mwaka huu ACT inakwenda kushika Dora Zanzibar, Zitto sio kama Maalimu, zitto ni king'ang'anizi watafikishana hadi mhakams za kimataifa,kama ccm watafanya uhuni. Hajatarget sana bara. Anataka ajenga chama kwa kuanzia na kushika Dora Zanzibar halafu 2025 aibuke bara. Hizo ni hesabu tu,
 
Zitto ameshapiga hesabu Kwamba mwaka huu ACT inakwenda kushika Dora Zanzibar, Zitto sio kama Maalimu, zitto ni king'ang'anizi watafikishana hadi mhakams za kimataifa,kama ccm watafanya uhuni. Hajatarget sana bara. Anataka ajenga chama kwa kuanzia na kushika Dora Zanzibar halafu 2025 aibuke bara. Hizo ni hesabu tu, bara
 
Act wamebahatika kupata wagombea lkn hawana wapiga kura ambao ni 1:wafia chama

2:Hawana mtu ambaye anaweza kuvutia wapiga kura kwa kumpatia kura za huruma.

3:Anacho taka Zitto ni kuongeza idadi ya wabunge na madiwani ili Chama chake kiupate KUB
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.

Kazi ipo mwaka huu!
 
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Safi mno CHADEMA hakuna Kuungana nao Lissu Wetu anatosha.

Kazi ipo mwaka huu!

Waungane ila Lissu awe ndiye chaguo la kupepea bendera kwani Membe = Lowassa! Pili Act Wazalendo walitia mnazi maji 2015. Tatu Chadema walifanya kosa 2015 kwa kumtosa Dr Slaa na kumbeba Lowassa. All in all watachangamsha uchaguzi wa 2020 kama Yanga wanavyochangamsha mashabiki wakati wanapocheza Yanga dhidi ya Simba, kwani magoli yote yashatabirika kuwa Yanga(Upinzani) 10 na Simba(CCM)390 yaani upinzani 2020 hawana kitu!!! Sababu - Magufuli karudisha nidhamu kazini, karudisha Reli mpaka ile ya Dsm Arusha, karudisha Ndege, kaokoa Bandari ya Bagamoyo kwenda kwa Wachina/Oman kwa karne moja(miaka 99) na mengine mengi ila bado kurudisha nyumba za serikali na mashirika ya umma walizojigawia viongozi baada ya Mzee Ruksa kustaafu!!!
 
Back
Top Bottom