Kwanini 75% ya nyumba za wabongo, ukitaka kwenda uani au nyuma ya nyumba sharti upitie jikoni?

Mpende musipende wana Jf. Ukweli unabaki pale pale na si ajabu wengi nimewagusa.

Hakuna ulazima wa kupiga picha wakati swala liko wazi.
 
Catherine:
pata picha uko jikon unaandaa maanjumati halafu anapita baba mkwe kisa anatAka kwenda uani au nyuma ya nyumba au anakuja mgeni anataka kupita Kwenda sebureni. Maana nyumba nyingi cku hizi main doors haitumiki
 
yaaaaaaani! Fanya fasta tupate dawa, yaani jiko lihame sio hata tukiunguza kitunguu sebureni wanapata habari.
 
Back
Top Bottom