Kwanini 75% ya nyumba za wabongo, ukitaka kwenda uani au nyuma ya nyumba sharti upitie jikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini 75% ya nyumba za wabongo, ukitaka kwenda uani au nyuma ya nyumba sharti upitie jikoni?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by akohi, Aug 13, 2012.

 1. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Jamani nakereka sana na hiyo hari maana naona ni jinsi gani wabongo tunavyo copy na ku paste.
  Au utakuta kila mjengo una kavaranda pale mbele ya nyumba halafu nyumba haina hata hewa, yaan mmh!!!.
  Huwa najiuliza hii design tume I copy wapi? Yaan km sote tuko hivyo basi sishangai mambo yayoendelea dodomA na hapo ikulu.

  Mbaya zaidi utakuta eti kajenga vyumba vitatu vya kulala lakin lazima kimoja hakina madirisha mawili au unakuta sebureni hapaKaliki maana joto la kufa mtu. Jamani...kweli...wabongo hatuna uwezo wa. Ku design mijengo yetu ya akina hoe hae yenye hewa na mwanga wa kutosha? Mi sitaki kuamini. Yaani tunashindwa hata ku position mjeNgo kwa kuangalia halia ya hewa na jua linazamia wapi ili kusudi muda wote nyumba inakua kivulini (poleni kwa wasio na miti ila pia pandeni miti...)

  Aisee yaani kwangu mimi hili ni liu gonjwa BAYA sana na ndo maana naomba Dr utushauri....!!!
   
 2. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ni kweli ni copy na kupaste.bora tuanze kuchora kwa mguu tu
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umeushirikisha ubongo kuandika?
  maana mada yako imeparanganyika, kama ma^us! ya mswahili..
  na kama ni ubongo umetumia haupo kichwani...utakua ubongo wa kwenye MASABURI...
  umetumia njia gani kujua kuwa ni asilimia 75 ya nyumba za wabongo ziko namna iyo?
  acha kutiririka vitu ovyo ovyo.
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Yamekuwa hayo???? Lol!
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  tuwekee picha za mifano mkuu.
   
 6. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  Kwa hii mada ngoja niongeze vitumbua, then muulize cacico na bibi yangu Mamndenyi wanakunywa chai na kitafunwa gani najua Madame B amefunga.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  uji wa kungu na visheti mkuu Ipycalypse! lol nitashukuru!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  Heh! KUNGU si ndo ile inayofanya macho yawe ya ajabuajabu? Dah tuendelee na mada tusije tukawa wachakachuaji.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahahaaaaaaaa nh zaid ya kichekesho
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  aweke picha ya nyumba yake kama mfano tuige na siye
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Umemkenyesha vibaya kweli haaaaah.
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  umeenda kwa mtogole, sasa unafananisha kila nyumba.....njoo Yaeda uone nyumba....hub oil seal....mxuuuu....
   
 13. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red umenigusa.:A S-coffee:
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  unaishi huko......?
   
 15. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  Ha aha aha hapana mkuu me niko Baruti nilitaka kuwasemea wengine ili kuwapunguza povu
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  basi leo jioni mie mgeni wako, naja kula daku.....
   
 17. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  ha aha aha karibu sana ukishuka njoo mpaka mtaa wa 770
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  naendesha evoque ya maroon....nielekeze njia......
   
 19. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  Kama unaenda njia ya mbezi kabla hujafika kituo cha baruti nyuma kidogo utaona mkono wwa kushoto utaona msikiti kunja kona hapohapo fata hiyo road mbele kidogo utaona Mugabe's Pub 770 ukifika hapo ni PM home si mbali na hapo.
   
 20. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  Kama unaenda njia ya mbezi kabla hujafika kituo cha baruti nyuma kidogo utaona mkono wwa kushoto utaona msikiti kunja kona hapohapo fata hiyo road mbele kidogo utaona Mugabe's Pub 770 ukifika hapo ni PM home si mbali na hapo.
   
Loading...