Kwanin wanawake anakupa haya mashart...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanin wanawake anakupa haya mashart...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maalim Jumar, Dec 27, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwenu wapendwa Salaam.
  Naomba kujua ...maana nmefanya utafiti kwa miaka mingi kuhusu wanawake...kabla hujamuoa anakuuliza haya maswali yafuatayo:
  1-Unayo kazi gani?
  2-Unae mke/demu mwingine?
  3-Unapoishi ni kwako au umepangishwa?
  4-Unao watoto wangapi...hapa huhitaji ajue na umri zao watoto.
  5-................
  6-................

  Haya maswali hua na malengo gani kwako ?

  Je hua kuna siri zipi hua anazificha?

  Nawakilisha.
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kuyajua hayo muhimu na zaidi ya hao, mara unachukua mume wawatu lakini ukijua unajipanga mapema.
   
 3. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  1. security
  2. ahakikishe wewe sio mume wa mtu
  3. kulea mtoto wa mtu kazi kabla hajakukubalia ajue kama unao au huna ili akubaliane na hali halisi
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Naomba tu niseme kua ni wanawake wachache saana huuliza hayo maswali kwa wazi kabisa kwa wanaume wawatongozao, NDIO hayo maswali hujiuliza mioyoni na kusoma alama za nyakati (muonekano wa mwanume, status via simu/usafiri/utanashati, sehemu ambazo ampeleka mdada, watu ambao hua accompened nae);

  However, Ikitokea mwanamke anakuulza moja kwa moja (yaani kavu kavu) hayo maswali then ni yule ambae anajitambua, anajua nini anataka, mara nyingi yupo independent, na hataki kubabaishwa! Na anakuuliza kupima kama kweli unafuzu katika sifa ambazo yeye anapenda.
   
 5. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Kama wako haulizi ajiandae na mi suprise(pasua kichwa kind) maana sisi vidume vya kibongo tuna mambo mengi ya ajabu.BORA AJUE MAPEMA ILI AJIPANGE (ndo sababu ya kuuliza)
   
 6. huzayma

  huzayma Senior Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. nijuwe kama una kazi au ni tapeli unategemea mie ndo niwe mfanyaji wa yote ( si kuhizi wengi wao ni wanaume kama mabinti)
  2. nijuwe kama ni ukewenza sina uwezo nao, ninaempenda sitaki awe na mwengine.
  3. hapo nijuwe tutasaidiana vipi kimaisha na kodi ya nyumba ama kama nyumba ni yako tupange kutafuta na vyengine.
  4. huwa wanachangia kwenye uvunjaji wa ndoa lazima nijuwe wana umri gani pia wengi huwarudisha mama zao kwa baba yao.
  Kwangu lazima hayo maswali unipatie majibu yake ndio kieleweke.
   
 7. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Can the reverse help you to think of their possible answers? Let's think in togetherness:

  1. Unafanya kazi/shughuli gani?
  2. Unamwanaume(mume) au hawala yako yeyote?
  3. Umeolewa?
  4. Umewahi kubahatika kuwa na watoto? Kama ndiyo,je ni wangapi?
  5. Baba yake/yao/zao watotowako, wapo hai?Je!Wako mbali na mji huu?
  6. Unaishi na wazazi wako ama unajitegemea? kama unajitegemea, je, umepanga au kwako?

  unafikiri hayo maswali yanakuwa na mlengo gani ama yanatafuta nini kilichofichika?
   
 8. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Ni muhimu sana kuuliza ili kujua huyo jamaa ni mtu wa aina gani...na jinsi gani mwanamke huyo ataweza kuishi nae na ku-cope nae.
  Kama ana watoto,wanaishi kwa nani...na ilikuwaje akaachana na mama wa hao watoto? Kama ana mke/mwanamke mwingine anataka nini tena kwa huyo mwanamke mpya au kule kuna tatizo gani?.. Otherwise,siku ya siku mwanamke anaweza akajikuta anafukuzwa kwenye nyumba yake mwenyewe
   
 9. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  They are very productive questions...kama mtu una malengo mema na mwenza wako hutakiwi kushtuka au kujibu kwa ukali unapoulizwa maswali kama hayo..coz yanalenga kujenga sio kubomoa.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  KYC-Know Your Customer
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Namba 1 na 4 ni maswali ya kijinga sana,mwanamke akiniuliza najua hafai kuwa mke wangu!
   
 12. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ni kutokana na vile wewe usivyofaa kuwa mume wake.
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  yana umuhimu wake..
  Na hayo maswali yanaeleza mengi kuhusu mtu..
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  hayo maswali ukiyageuza kinyume, ni taabu tupu na unaweza ukadhaniwa ni mdhalilishaji
   
 15. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Hapa kuna wa aina mbili:
  1:Wanao uliza haya kwa kujitambua na kutopendwa kubabaisha kama alivyosema madam Ashadii
  2:Wengine ni wale wanao penda kuwa magolikipa!Akute tayari una nyumba,usafiri,na kila kitu ili yeye aanze kudaka tu kama kinda la ndege
   
 16. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nami nawaza kuamua hivyo hivyo.
  Kuna member mmoja hapo juu amenigeuzia kwangu...ikiwa ntamuuliza mwanamke itakua ni nin nahitaji kwake?

  Mapenzi unataka ujibiwe hata mwenzio hajakufaham vizur...nikutafutana udhaifu ili akumalize kabla hujaamka!
  Haya maswali ni hatari sana katika mapenzi.
  Huyu mwenye maswali aina hii ni mzoefu kuumiza wanaume au kuumiza wanawake. Ati! Ajipange!!!!
  Ajipange kummaliza baba wa watu....
  Haya naendelea kupokea mawazo GT wenzangu.
   
 17. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Fafanua umuhimu gani?
  Wanawake wengi huuliza hayo nawalipopata hizo nafasi walizitumia vzur...mwisho wake wanaume waliwashitukia na ilikua mizozo zaid...na uadui mpaka hawahitaji waonane...kitachowakutanisha ni vizazi vyao kama walijaaliwa kuwapata...wakt mwingine mwanamke anamwambia mwanae ''baba'ko ameshakufa'' au ''baba yako alikua mwanajeshi aliuliwa vitani'' au ''baba yako ni Mnigeria amerudi kwao...hakuwahi kunipeleka''
  Ndio umuhim haya majibu yao?
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  5.basi mie huwa nawaomba benk statement ya miezi 6- hii ni kujua mapato na matumizi yake kama yananifaa

  6. naomba birth certificte-kuhakiki umri nisije nikawa nabaka, kizazi cha soseji kinaota midevu bila mpangilio

  7. naomba passport-kujua je ni mtu wa kimataifa? Anasafiri safiri? Anajua mabombastic ya kizungu yale magumu kabisa ambayo hapa tanzania labda wanayajua maprof 3 tu.
   
 19. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Eliah hapo namba 2 nami nilikua naona ndio misingi yao kuhitaji kujua kwa njia yeyote ....mara nyingi ni wale waliopitisha maisha yao wakitafuta unafuu wa maisha hawajafanikiwa kuyapata.
  Hakuna msingi wakuuliza mchumba wako hayo maswali? Kama unahitaji kujua labda uwe unakipato kikubwa ili yote hayo uyafanye wewe...lakin wengi wao kipato chao cha mashaka mashaka!.
  Nashukur kwa michango yenu inaweza tusaidiwa wenye mitazamo tafauti
  (negative aspect).
   
 20. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Umeona eee!
   
Loading...