Kwanin wakati wa Haja Kubwa Na Ndogo Inatoka?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Nipo njia panda hapa! Mwanangu Idowa Kaja Na Homework kaniuliza hata cjui wadau! Nahitaj maelezo
 
Pia kiitifaki mkubwa anapotaka kusafiri lazima mdogo/wadogo wamsindikize lakin mdogo anapotoka si lazma mkubwa amsindikize.mfano mzuri ni mkuu wa nchi na wasaidiz wake.
Una akili Sana aisee!
 
cmp jibu zur ila nahis kam unataka nihaibike kwa mwanangu?? Kwa mfano nikamwambia halafu akachekwa shule atanionaj? Nipe real ans
 
Back
Top Bottom