Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,097
- 53,479
Huo ni mfano wa Fast Jet.
Maswali yangu ni haya;
1. Makampuni ya ndege yanapata hasara kupitia nini?
2. Na inakuwaje yanaendelea na biashara ilihali yanapata hasara kubwa hivyo?
3. Njia gani sahihi ya kupunguza hasara kubwa kama hii?
Watalaamu karibuni kwa mjadala.
CC Davion Delmonte Jr.