Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,647
Kama kawaida yangu asubuhi kupitia magazet kusoma yaliyojiri
Lakin cha kushangaza Leo nimekosa habari ambayo jana ilikuwa ni Habari kubwa na muhimu kuhusu ma meya nchi nzima kukutana arusha na kujadili mambo mbali mbali ya maendeleo na changamoto zake
Pamoja na mambo mengine ma meya walimpinga suala la kodi ya majengo kurudishwa serkal kuu kupitia Mamlaka ya mapato T. R. A kutoka kwenye halmashauri kwani ndio chanzo kikuu cha mapato na shughul za maendeleo zitakwama kwani wameshaingia mikataba mbali mbali na makampuni ya kufanya kazi za maendeleo
Hivyo kupinga suala hili na kuahidi kwenda mahakamani kupinga suala hili la kodi ya majengo kupelekwa serkal kuu kutoka tamisemi
Cha ajabu ni gazet Moja tu lililochapisha Habari hii tena gazet la kingereza la The Citizens
Haya magezet mengine yapo bize na kuisifia serkal, kusifia utuez mdogo wa mawaziri
Aliyeturoga ni nani watanzania?