Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 850
- 1,176
Bado shida ni elimu sababu unafikiri wengi wanaona mambo kama unavyoyaona kwa jicho lako mkuu?? Wewe unaweza kuliona jambo dogo sababu una maarifa nalo.
Yaani jamii yetu ina shida nyingi sana. Yaani inaumwa haswaaa.
Uelewa wa mambo ni mdogo mno.
Ukisema kupendana sababu halisi hata ya hao wanaoua wenzao huenda ni kukosa elimu sahihi sababu mtu kasoma hajaelimika vya kutosha kutawala mazingira yake kwa nini asione kwamba mwingine anachukua fursa zangu kumbe waala!!!!!!
Hata hivyo kwa sasa siasa za kutengana zipo hata huko kwa weupe check Brexit.

Hata elimu ya Kupendana tu tunashindwa kuitumiaa...Kuchomana moto na kuuana ndo jambo tuliloona la maana zaidi!! Uafrika ni laana.