Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

Bado shida ni elimu sababu unafikiri wengi wanaona mambo kama unavyoyaona kwa jicho lako mkuu?? Wewe unaweza kuliona jambo dogo sababu una maarifa nalo.

Yaani jamii yetu ina shida nyingi sana. Yaani inaumwa haswaaa.

Uelewa wa mambo ni mdogo mno.

Ukisema kupendana sababu halisi hata ya hao wanaoua wenzao huenda ni kukosa elimu sahihi sababu mtu kasoma hajaelimika vya kutosha kutawala mazingira yake kwa nini asione kwamba mwingine anachukua fursa zangu kumbe waala!!!!!!

Hata hivyo kwa sasa siasa za kutengana zipo hata huko kwa weupe check Brexit.

Hata elimu ya Kupendana tu tunashindwa kuitumiaa...Kuchomana moto na kuuana ndo jambo tuliloona la maana zaidi!! Uafrika ni laana.
 
Rebeca83

Hiyo IQ inapimwa kwa vigezo vipi?

Sababu je inapima kinachopasa kupimwa?

Je nini kinapaswa kupimwa?

Nani anaamua nini kipimwe wakati wa kupima IQ?

Anayepimwa aliwezeshwa vipi kuhimili atakachopimwa?

Tusijidharau kiasi hicho. Tunaweza kuwa bora kama tukiwa serious.

Tatizo ni elimu yetu imeshindwa kutupatia mbinu za kutatua changamoto zetu.

Na kutoka tulipo ni lazima tuwekeze hasa kwenye elimu yenye kuwezesha watu wetu kutatua changamoto zetu.

Yaani lazima tuwekeze kwenye elimu.

Mkuu kuliko kuniuliza mimi...ungetafuta mwenyewe uelewe..what is IQ and how is measured/calculated ..na vigezo vinavyotumika kwenye hizo standard tests...............

Halafu,kusema tuna low IQ sio kujidharau,,...it is measured/calculated so it is something that can be concluded in the light of EVIDENCE...

Elimu yetu imeshindwa kutupatia mbinu za kuwezesha sababu walio juu hawajui kuleta au kutunga materials ambayo itatusaidia kutatua changamoto zetu..na hii inaweza kusababishwa na Low IQ walizonazo:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Ni vizuri kuwekeza kwenye Elimu kama ulivyopendekeza mkuu....ila kuwafikia level ya watu wa bara la Asia..NEVER...with IQ being a heritable trait..again NEVER!
 
Ok sawa.

Lkini hivi unaamini sisi hatuna akili kabisa? Hakuna watu bright kabisa weusi uliowaahi kutana nao wanaoweza kusimamia mambo na yakawa?

Nadhani shida yetu bado ni elimu hatujaipa kipaumbele hata kidogo.

Kuna mdau juu kazungumzia R&D.

Tukiwekeza kwenye elimu na tafiti tutasogea.

Tukiwekeza kwenye elimu hata tusipowafikia leo lakini miaka hamsini ijayo vizazi vijavyo wataishi angalau maisha yenye mwangaza kwamba wanakwenda wapi.

Mkuu kuliko kuniuliza mimi...ungetafuta mwenyewe uelewe..what is IQ and how is measured/calculated ..na vigezo vinavyotumika kwenye hizo standard tests...............

Halafu,kusema tuna low IQ sio kujidharau,,...it is measured/calculated so it is something that can be concluded in the light of EVIDENCE...

Elimu yetu imeshindwa kutupatia mbinu za kuwezesha sababu walio juu hawajui kuleta au kutunga materials ambayo itatusaidia kutatua changamoto zetu..na hii inaweza kusababishwa na Low IQ walizonazo:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Ni vizuri kuwekeza kwenye Elimu kama ulivyopendekeza mkuu....ila kuwafikia level ya watu wa bara la Asia..NEVER...with IQ being a heritable trait..again NEVER!
 
The difference is,,,,,,,,,,,walituletea social affairs nyingi ambazo zilivuruga njia na mfumo mzima wa maisha yetu kwa maslahi yao ya miaka mingi ahead,kwa uchache sana,,,,,,fikiria mfumo wa elimu kwa nchi zote za kiafrika,kila nchi inafata mfumo wa her colonial master,,,,,,, hii ni kwa faida ya nani???dini (imported religious affairs) ni janga lingine kubwa kwetu,tuje kwenye political affairs, kila kitu mifumo na utendaji wa serikali zetu zinafata au kukopi toka kwa colonial masters,et mabunge ya jumuiya ya madola,je mahitaji na changamoto za kijamii,kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni kwa watanzania na wakenya yanafana na ya waindonessia,wahindi na waingereza hadi tutumie mfumo ufananao kwa ujinga wa jumuiya ya madola????tumepoteza our natural potentials ktk kila nyanja ya maisha na hatukujipanga kuikabili mifumo (mentality) ambayo tuliachiwa na wakoloni,,,,,,,,,mungu ibariki na inasue afrika,,,,,,,,,,,,,,,!!!kutoka 411kj ruhuwiko songea,buffet nawatakieni asbuhi njema wote

Sasa hapo mimi bado nabaki na maswali lukuki kama anavyojiuliza mtoa mada pia..
Mifumo ya wazungu karibia yote iko vizuri, sasa kama walituletea mifumo mizuri, sisi tunashindwa nini kuiiga na kuwa vizuri kama wao??
Katika maswali ambayo watu weusi tunapaswa kujiuliza toka katika sakafu za mioyo na bongo zetu, nafikiri ni hayo. Tunakosea wapi?? Ni nini ambacho hatukijui? Where is the missing link? (In author’s voice)
Je tuna matatizo ya kiufahamu? Nini hasa??
Kwa kweli tunahitaji mtu wa kutusaidia hapa, na nafikiri asiwe mtu mweusi. Aje tu atufanyie tafiti na kutupima akili pia, labda atatupa majibu ya kile kinachotusibu.
Ila Watu weusi roho zetu ni za ajabu/mbaya sana. Nasikitika kwamba huu ni ukweli mchungu unaonigusa nami pia
 
Kwanini sisi hatukupanga mpango wa kuizunguka dunia kabla yao?

Hapo mwanzo wakati wazungu hawana chcochote kama ilivyokuwa sisi yaani uchumi sawa walifanyaje fanyaje wakaweza kuboresha maisha yao mpaka wakaweza kufanya safari Africa?

Na sisi nini kilitukwamisha tukashindwa kutoka mapema kwenda ulaya kuwatawala kikoloni?

Tulifanya hivyo ila historia iliyoandikwa na mzungu haita kuambia historia yako halisi.

Msome Cheikh Anta Diop, Ivan Van Sertima, Chancellor Williams,George G.M. James, Walter Rodney, Marcus Garvey na wengine wengi tu.

Cycle in life, of life... Dunia ni Mviringo, kuna zamu kutawala Dunia.
wazungu sio wabinafsi, pia wanashirikiana na kisaidiana kufanya maendeleo.... waafrika hatuko hivyo kamwe...

Systems zao zote zimejengwa kuisadia jamii,Wanakubali kulipa kodi kuwasaidia maskini kupata nyumba bure, matibabu bure, elimu bure pia na pesa za kujikimu ukiwa hauna kazi, unaumwa.

Ukipata kazi ya maana pia na wewe inabidi ulipe kodi, huu ni utamaduni wao.

Kodi zao zinaeleweka ukifanya kazi UK haulipi kodi yoyote hadi kipato chako kizidi £11,000 zaidi ya 30, millioni tshillings.except National Insurance hii ni kama bima ya afya.

Kwa biashara iliyosajiliwa ni mpaka income yako revenue ipite £70,000, (200,000 milioni) ndio HMRC equivalent to TRA wanaanza kukwambia ulipe kodi pia kiungwana sana.

Ukitaka kufungua biashara, kusajiri kampuni ni siku moja tu. Kutafuta masoko kuna list ya masoko yote nchini, duniani.

Ukiandika email, kupiga simu ukiwa na tatizo kwa mbunge au waziri unajibiwa siku hiyo hiyo, wabunge wanakuja kusikiliza matatizo ya jamii kila wiki. Unaenda ofisini kwao unaongea shida yako, mbunge anaandika barua kwa wizara, mtu, taasisi husika kwa mujibu wa sheria zao lazima ajibiwe ndani ya muda flani.

Wameweka systems (mifumo) iliyokamilika.

Pia kusema ukweli ni wastaarabu sana uso kwa uso.
 
Mie nilikaa kidogo ulaya kimasomo na nilijiuliza hayo yote na kweli kiakili nilikuwa nawazidi majority ya wazungu actually nilikuwa naongoza kimasomo.

Nadhani jamaa walichotuweza ni kuweka mifumo yao kuongoza dunia wakati sisi tulikuwa tumelala. Kwa ufupi ni ngumu sana kumzidi mtu aliyetengeneza mfumo ili akutawale na wewe ukaingia kichwakichwa kwenye huo mfumo mfano elimu, siasa, uongozi, dini, michezo n.k

Sisi Africa tulikuwa na mifumo yetu ya uongozi, elimu, dini na michezo n.k ambayo tungeisimamia tungekuwa mbali sana lakini tuliaminishwa kuwa mifumo ile ya kibeberu ndio bora wakati ilitengenezwa makusudi ili kututawala.

Asikwambie mtu haya mataifa yaliyoendelea yana siri kubwa sana nyuma yake ambazo wanasimamia kutawala Africa na dunia nzima kwa ujumla

Kuna Rafiki yangu mmoja mjerumani nilimuuliza kwa nini wanaangaika kunisomesha na scholarship kibao wakati kuna watu wao nchini mwao hawapati huduma hii, jamaa aliniambia hiyo yote ni mifumo ya kutatawala. Nilijiuliza sana usiku jamaa anamaanisha nn ila baadae nilikuja kuelewa kuwa walikuwa wanafanya hivyo ili kuandaa viongozi waafrika ambao wanafuata mlengo wa nchi zao. Yaani wanakuwa wanakufuatilia kila unachofanya na wakiona una akili na una elimu nzuri wanakomaa na wewekuakikisha kama ukishika nafasi basi inakuwa rahisi ku-negotiate nao mikataba mbalimbali

Dunia ya kwanza ina mengi sana ndio maana mashirika ya kijasusi yamewekewa hela nyingi sana na wanajua sana kutunza siri

Sisi huku Afrika tunajiendea tu wala hatuna dira kwa kuwa jamaa wanatu-control wanavyotaka. Tungeshikilia mifumo yetu ya kiuongozi kama ya machifu nk uenda tusingeyumbishwa na dunia ya kwanza na tungekuwa mbali sana kimaendeleo. Wakoloni waliotuletea elimu na dini wameiharibu sana Afrika
 
Baada ya Mungu,Mzungu
Afrika ya Kusini ndio the largest economy in afrika with the best infrastructure in the entire continent. Mafanikio haya yamewezekana kwasababu kuna mzungu anaishi pale mpaka leo

Zimbabwe uchumi umeanguka kabisa baada ya kuanza kumuondoa mzungu. Na sasa wazimbabwe wote wanahamia afrika ya kusini kuyafata mema ya mzungu

Wakati wa ukoloni babu zetu waliwindwa kama wanyama wakadakwa wakauzwa na kupelekwa ulaya utumwani. Lakini sasa waafrika maelfu kwa maelfu wanakimbilia ulaya. Wanajipeleka wenyewe kwa mzungu tena wengine kwa kurisk maisha yao kwenye mediteranian sea.

Kule marekani mitaa wanayoishi wazungu ni bora kabisa na iko very civilized and well kept. Lakini mitaa ya waafrika ni gettho na familia zao ni vurugu tupu zenye mimba za utotoni na vijana wanaokataa shule. Hata Chris Rock aliwahi kutania kwamba ukipiga simu usiku wa manane ikawa wrong namba akipokea mweusi atakutukana lakini akipokea mzungu atakuuliza kwani ulikua unamtafuta nani labda naweza kukusaidia.

Hapa Tanzania mashirika mengi yalikufa baada ya mzungu kuondoka. Mfano mmoja ni yale mashamba ya Nafco basutu na mbarali na hata mashamba ya mkonge tanga nk

Kwani mzungu ana nini ambacho waafrika hatuna ambacho kinamfanya yeye anafanikiwa tu na sisi tunafeli kila mahali dunia nzima. Yani waafrika popote walipo na chochote wanachofanya kinafeli lakini wazungu popote walipo wanafanikiwa

Kule Haiti ambako ni karibu kabisa na america nchi imeharibika kabisa kwasababu ni nchi ya mwafrika. Meya mmoja wa Washington DC aliekua mweusi alikamatwa kwa rushwa wakati Washington DC is one of poorest city in america kwakua viongozi wake ni weusi simillar to chicago inayoongoza kwa crime rate and homicides in the united states kwakua viongozi ni weusi.

What is the missing link

Where is the missing link and where did it originate from.

Is the gap cultural, religion, economic, or psychological.

safari hii naomba tusifocus kwa mwafrika na mapungufu yake hebu tufocus na mzungu kwani nini alicho nacho mzungu ambacho sisi hatuna?

Sisi waafrika tukisoma na mzungu darasani hua tunawashinda tunaongoza katika masomo na hata katika athletic abilities lakini mwisho wa siku mzungu anaendelea kufanikiwa sisi tunarudi nyumbani kuendelea kufeli

Je ni nini ambacho mzungu anacho siso hatuna?
 
Ndio maana mimi nakataa kabisa hii notion ya kwamba etu sisi leo tuko hivi tulivyo sababu kuu ni ukoloni(kutawaliwa na mzungu) uliotukalia kwa kipindi kirefu.

Sasa mbona kuna watu wa mabara mengine nao pia walipata kutawaliwa na huyo huyo mzungu lakini leo wametupita kwa karibu kila kitu!?.. kwanzia uchumi,ustaharabu,teknolojia na hata kimichezo pia.

Kuwa mujibu wa chanzo kimoja kisichokuwa rasimi wakati sehemu nyingi duniani zikijiondoa kutoka kwenye mikono ya mkoloni miaka ya 1950s mambo yalikuwa hivi:

In 1950s
Extreme poor
-Africa 65%
-Asia 60%
-South America 65%

In 2015
Extreme poor
-Africa 60%
-Asia 30%
-South America 40%

Hivyo unaweza ukaona sisi almost bado tuko pale pale tu katika juhudi zetu za kujikwamua kwenye umasikini tofauti na Wenzetu ambao wako mbali sana.

Tatizo letu sio mkoloni bali ni sisi wenyewe. Huyu mkoloni tunamsingizia tu.

Mkuu

Hili suala la michezo hua najiuliza sana. Hivi kwanini mafanikio ya michezo yana fanana na uchumi wa nchi. Yani nchi tajiri zaidi ndio zinafanikiwa zaidi katika michezo hata kufika world cup wakati masikini zaidi kama Tanzania na Msumbuji hazipo kabisa katika ramani ya michezo. Actually sisi Tanzania tungeacha kabisa kwenda kujiabisha kwenye mashindano yoyote ya soccer nje ya nchi

Nakumbuka kuna wakati Goodluck Jonathan alipokua rais wa nigeria kuna wakati alikaa kuipeleka nigeria kwenye michezo ya either CAF au CECAFA au FIFA (sorry iam not a soccer fun) kwasababu alisema haoni sababu ya kwenda kua msindikizaji. Nigeria ikapigwa faini na akalipa.

Lakini Tanzania kukosa mafanikio kwenye michezo ni kielelezo kidogo cha utamaduni wetu wa kufeli. We fail in everything
 
yaani tangia nijue wa Africa tuna low IQ nimekua na Amani kweli..,kumbe siko peke yangu.. 😅 😅 😅 ..

i guess IQ is genetic and some environment influences play part also..

Sasa low IQ has been passed to us genetically and we dont have Quality Education(environment influences)

This means we are doomed..

high IQ people means exploring your environment,see what you have discovered and come with ways to make life better for yourself and others

Ndio maana watu wenye High IQ kutoka bara la Asia wametuletea na wanaendelea kutuletea new technologies ..sababu their inquistive minds is met with relevant education...

Africa nini tumekigundua in terms of technology?lol

Tukiwatoa waafrica na kuwapeleka ulaya ni wastage of time as tuna low IQ to explore the environment tutakaa kama viazi..tu😅😅;)

Uko sahihi but i believe there is a way around this. If we decide and commit to seek a way out, i trust we can find one
 
Mkuu kuliko kuniuliza mimi...ungetafuta mwenyewe uelewe..what is IQ and how is measured/calculated ..na vigezo vinavyotumika kwenye hizo standard tests...............

Halafu,kusema tuna low IQ sio kujidharau,,...it is measured/calculated so it is something that can be concluded in the light of EVIDENCE...

Elimu yetu imeshindwa kutupatia mbinu za kuwezesha sababu walio juu hawajui kuleta au kutunga materials ambayo itatusaidia kutatua changamoto zetu..na hii inaweza kusababishwa na Low IQ walizonazo:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Ni vizuri kuwekeza kwenye Elimu kama ulivyopendekeza mkuu....ila kuwafikia level ya watu wa bara la Asia..NEVER...with IQ being a heritable trait..again NEVER!

Uko sahihi
kukubali mapungufu ni hatua ya kwanza kuweza kuyapatia suluhisho
 
Sasa hapo mimi bado nabaki na maswali lukuki kama anavyojiuliza mtoa mada pia..
Mifumo ya wazungu karibia yote iko vizuri, sasa kama walituletea mifumo mizuri, sisi tunashindwa nini kuiiga na kuwa vizuri kama wao??
Katika maswali ambayo watu weusi tunapaswa kujiuliza toka katika sakafu za mioyo na bongo zetu, nafikiri ni hayo. Tunakosea wapi?? Ni nini ambacho hatukijui? Where is the missing link? (In author’s voice)
Je tuna matatizo ya kiufahamu? Nini hasa??
Kwa kweli tunahitaji mtu wa kutusaidia hapa, na nafikiri asiwe mtu mweusi. Aje tu atufanyie tafiti na kutupima akili pia, labda atatupa majibu ya kile kinachotusibu.
Ila Watu weusi roho zetu ni za ajabu/mbaya sana. Nasikitika kwamba huu ni ukweli mchungu unaonigusa nami pia

Uko sahihi chief tena makini sana
 
Tulifanya hivyo ila historia iliyoandikwa na mzungu haita kuambia historia yako halisi.

Msome Cheikh Anta Diop, Ivan Van Sertima, Chancellor Williams,George G.M. James, Walter Rodney, Marcus Garvey na wengine wengi tu.

Cycle in life, of life... Dunia ni Mviringo, kuna zamu kutawala Dunia.

Systems zao zote zimejengwa kuisadia jamii,Wanakubali kulipa kodi kuwasaidia maskini kupata nyumba bure, matibabu bure, elimu bure pia na pesa za kujikimu ukiwa hauna kazi, unaumwa.

Ukipata kazi ya maana pia na wewe inabidi ulipe kodi, huu ni utamaduni wao.

Kodi zao zinaeleweka ukifanya kazi UK haulipi kodi yoyote hadi kipato chako kizidi £11,000 zaidi ya 30, millioni tshillings.except National Insurance hii ni kama bima ya afya.

Kwa biashara iliyosajiliwa ni mpaka income yako revenue ipite £70,000, (200,000 milioni) ndio HMRC equivalent to TRA wanaanza kukwambia ulipe kodi pia kiungwana sana.

Ukitaka kufungua biashara, kusajiri kampuni ni siku moja tu. Kutafuta masoko kuna list ya masoko yote nchini, duniani.

Ukiandika email, kupiga simu ukiwa na tatizo kwa mbunge au waziri unajibiwa siku hiyo hiyo, wabunge wanakuja kusikiliza matatizo ya jamii kila wiki. Unaenda ofisini kwao unaongea shida yako, mbunge anaandika barua kwa wizara, mtu, taasisi husika kwa mujibu wa sheria zao lazima ajibiwe ndani ya muda flani.

Wameweka systems (mifumo) iliyokamilika.

Sahihi kabisa chief

Hii ndio mifumo tunayohitaji. Pia tunahitaji katiba ya kuzuia Rais au Waziri kutumia hela za kodi anavyotaka yeye. Hela za umma lazima zifanyiwe maamuzi na Bunge kwa utaraibu wa kimfumo na kimkakati. Tunahitaji katiba, mifumo na taasisi zenye nguvu
 
Mie nilikaa kidogo ulaya kimasomo na nilijiuliza hayo yote na kweli kiakili nilikuwa nawazidi majority ya wazungu actually nilikuwa naongoza kimasomo.

Nadhani jamaa walichotuweza ni kuweka mifumo yao kuongoza dunia wakati sisi tulikuwa tumelala. Kwa ufupi ni ngumu sana kumzidi mtu aliyetengeneza mfumo ili akutawale na wewe ukaingia kichwakichwa kwenye huo mfumo mfano elimu, siasa, uongozi, dini, michezo n.k

Sisi Africa tulikuwa na mifumo yetu ya uongozi, elimu, dini na michezo n.k ambayo tungeisimamia tungekuwa mbali sana lakini tuliaminishwa kuwa mifumo ile ya kibeberu ndio bora wakati ilitengenezwa makusudi ili kututawala.

Asikwambie mtu haya mataifa yaliyoendelea yana siri kubwa sana nyuma yake ambazo wanasimamia kutawala Africa na dunia nzima kwa ujumla

Kuna Rafiki yangu mmoja mjerumani nilimuuliza kwa nini wanaangaika kunisomesha na scholarship kibao wakati kuna watu wao nchini mwao hawapati huduma hii, jamaa aliniambia hiyo yote ni mifumo ya kutatawala. Nilijiuliza sana usiku jamaa anamaanisha nn ila baadae nilikuja kuelewa kuwa walikuwa wanafanya hivyo ili kuandaa viongozi waafrika ambao wanafuata mlengo wa nchi zao. Yaani wanakuwa wanakufuatilia kila unachofanya na wakiona una akili na una elimu nzuri wanakomaa na wewekuakikisha kama ukishika nafasi basi inakuwa rahisi ku-negotiate nao mikataba mbalimbali

Dunia ya kwanza ina mengi sana ndio maana mashirika ya kijasusi yamewekewa hela nyingi sana na wanajua sana kutunza siri

Sisi huku Afrika tunajiendea tu wala hatuna dira kwa kuwa jamaa wanatu-control wanavyotaka. Tungeshikilia mifumo yetu ya kiuongozi kama ya machifu nk uenda tusingeyumbishwa na dunia ya kwanza na tungekuwa mbali sana kimaendeleo. Wakoloni waliotuletea elimu na dini wameiharibu sana Afrika
Umenena mkuu
 
Back
Top Bottom