Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

Duuuh Mungu wangu ukweli mtupu huu.....
Kwenye movie ya Django unchained Mzungu mmoja anasema kuna study ya kiscience inaitwa "Phrenology" kwamba sisi waafrica tuna kitu kinachohusisha na "submissiveness".Kwa hiyo tunapenda kutawaliwa na kutumikishwa na tunafeel proud kuwa slaves.

Hatuna ule uthubutu kwa kurevenge na kurise up kupigania haki kama binadamu.Ndio maana recently UKUTA ilishindikana.hahahah!!

Mwanzilishi wa hii "Science of Phrenology" Charles Caldwell aliwahi kusema anashangaa kuona watumwa wake wameridhika kuliko yeye.

Kwa hiyo hatuwezi kuendelea bila ya mzungu.
 
Hahahahahahaahahahah mamaeeeee....
Unanikumbusha mwaka fulani nilikuwa lagema hotel (star of the East) zanzibar,kuna bwana mdogo mmoja alikuwa ni security, ni hawa kk security, sasa alikuwa maeneo ya gim, kuna kamdada kalikuwa kanapga mazoezi pale pembeni yake.

Yule bwana akaanza kulekebisha suruali yake kwa kuchomekea na kujiweka sawa, bwana weeee kale kamdada kakatoka mbio kanapiga kelele eti anataka kukabaka mana kamemuona anafungua suluali yake. Jamaa ndo kujieleza kuwa "nilikuwa nalekebisha suruali tu kwa kuchomekea". Akahamishwa pale, wazungu wanakujaga afrika na tahadhari na ngozi nyeusi mana wanatuona hatuna tofauti na wanyama kabisa.Mwafrica mda wowote anachafua upepo
 
Mwambie ivi mbona kesi ya masamaki iliisha kitambo tena alisamehewa na nyumba zote 50 kaachiwa.....hii inamaanisha alipata izo nyumba kihalali
Huo ni mtazamo wako. Tena ni mtazamo hasi endapo unayemzungumzia kazipata Mali hizo kihalali.
Vipi kuhusu wazungu kumiliki Mali nyingi kuliko wengine, je kwao halipo hilo?
 
Machifu kibao walikua vilaza mwendo wa kusaini mikataba ya kilaghai bila kujua....tena wazungu walikua wanawahonga cheni na pete hahahaha
Hivi wewe unavuta ugoro wa wapi?? Hivi watu kama akina MANGUNGO WA MSOVERO walikuwa na akili za kumtawala nani??
 
Afrika ya Kusini ndio the largest economy in afrika with the best infrastructure in the entire continent. Mafanikio haya yamewezekana kwasababu kuna mzungu anaishi pale mpaka leo

Zimbabwe uchumi umeanguka kabisa baada ya kuanza kumuondoa mzungu. Na sasa wazimbabwe wote wanahamia afrika ya kusini kuyafata mema ya mzungu

Wakati wa ukoloni babu zetu waliwindwa kama wanyama wakadakwa wakauzwa na kupelekwa ulaya utumwani. Lakini sasa waafrika maelfu kwa maelfu wanakimbilia ulaya. Wanajipeleka wenyewe kwa mzungu tena wengine kwa kurisk maisha yao kwenye mediteranian sea.

Kule marekani mitaa wanayoishi wazungu ni bora kabisa na iko very civilized and well kept. Lakini mitaa ya waafrika ni gettho na familia zao ni vurugu tupu zenye mimba za utotoni na vijana wanaokataa shule. Hata Chris Rock aliwahi kutania kwamba ukipiga simu usiku wa manane ikawa wrong namba akipokea mweusi atakutukana lakini akipokea mzungu atakuuliza kwani ulikua unamtafuta nani labda naweza kukusaidia.

Hapa Tanzania mashirika mengi yalikufa baada ya mzungu kuondoka. Mfano mmoja ni yale mashamba ya Nafco basutu na mbarali na hata mashamba ya mkonge tanga nk

Kwani mzungu ana nini ambacho waafrika hatuna ambacho kinamfanya yeye anafanikiwa tu na sisi tunafeli kila mahali dunia nzima. Yani waafrika popote walipo na chochote wanachofanya kinafeli lakini wazungu popote walipo wanafanikiwa

Kule Haiti ambako ni karibu kabisa na america nchi imeharibika kabisa kwasababu ni nchi ya mwafrika. Meya mmoja wa Washington DC aliekua mweusi alikamatwa kwa rushwa wakati Washington DC is one of poorest city in america kwakua viongozi wake ni weusi simillar to chicago inayoongoza kwa crime rate and homicides in the united states kwakua viongozi ni weusi.

What is the missing link

Where is the missing link and where did it originate from.

Is the gap cultural, religion, economic, or psychological.

safari hii naomba tusifocus kwa mwafrika na mapungufu yake hebu tufocus na mzungu kwani nini alicho nacho mzungu ambacho sisi hatuna?

Sisi waafrika tukisoma na mzungu darasani hua tunawashinda tunaongoza katika masomo na hata katika athletic abilities lakini mwisho wa siku mzungu anaendelea kufanikiwa sisi tunarudi nyumbani kuendelea kufeli

Je ni nini ambacho mzungu anacho siso hatuna?
TATIZO LILIANZIA HAPA..

Mwanzo 9: 18 - 27

18 Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.
Mwanzo 9 :18

19 Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.
Mwanzo 9 :19

20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
Mwanzo 9 :20

21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Mwanzo 9 :21

22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
Mwanzo 9 :22

23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
Mwanzo 9 :23

24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
Mwanzo 9 :24

25 Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
Mwanzo 9 :25

26 Akasema,Na atukuzwe Bwana,Mungu wa Shemu;Na kaanani awe mtumwa wake.
Mwanzo 9 :26

27 Mungu akamnafisishe Yafethi,Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake.
Mwanzo 9 :27
 
hivi kwanini sisi waafrika hatukuwahi kutoka na kwenda kutawala foreign land kama wazungu na waarabu
Hili swali nimewahi kujiuliza mara nyingi sana, na hata hapa kwenye comment yangu ya kwanza kabisa nimeliuliza!

Hivi kilichofanya jamii moja hasa wazungu kupata ujasiri wa kuvamia na kuzitawala jamii zingine ikiwemo Africa kilikuwa ni ninu hasa?

Je, mazingira yao waliokuwa wakiishi yalikuwa ni magumu sana na sio wezeshi kulinganisha na mazingira ya jamii zingine, hivyo wakaona njia pekee ya wao ku-survive ni kuvamia jamii zingine na kutumia chochote kizuri kilichopatikana katika mazingira hayo?

Inamaana jamii kama yetu ya kiafrika haikuwa na sababu ya kuvamia jamii zingine sababu ilikuwa haina changamoto nyingi za kimazingira ambazo utatuzi wake ulihitaji kutoka nje ya mazingira yetu?

Kwanza kwanini kila aliyekuwa anahitaji watumwa alikija kuwatafuta Afrika? Je walifahamu kwamba huku Africa tuna miili yenye nguvu tu yenye kustahimili suluba zote Lakin ni dhaifu kwenye suala la kujilinda?

Ni kwanini chanzo cha soko la watumwa Afrika na haikuwa kwenye mabara mengine? Je, hao waendeshaji wa biashara hawakwenda kabisa kwenye hayo mabara mengine kwa ajili ya shuguli hii ya utumwa?
 
TATIZO LILIANZIA HAPA..

Mwanzo 9: 18 - 27

18 Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.
Mwanzo 9 :18

19 Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.
Mwanzo 9 :19

20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
Mwanzo 9 :20

21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Mwanzo 9 :21

22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
Mwanzo 9 :22

23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
Mwanzo 9 :23

24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
Mwanzo 9 :24

25 Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
Mwanzo 9 :25

26 Akasema,Na atukuzwe Bwana,Mungu wa Shemu;Na kaanani awe mtumwa wake.
Mwanzo 9 :26

27 Mungu akamnafisishe Yafethi,Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake.
Mwanzo 9 :27
Huu mjadala tukiupeleka kidini dini tutaishia kwenye assumptions tu na tutapata majibu yanayoning'inia ning'ia.... kumbuka hata dini zetu zenyewe ni imani(assumptions)
 
Exactly.

Tutaigeuza ulaya/amerika kuwa kama ilivyo Afrika wakati huo wao wataigeuza Afrika iwe kama Ulaya/amerika waliyoiacha.

Tatizo kuu ni minds za occupants wa mazingira husika ndio wanaweza kuyafanya mazingira hayo yaweje.

Huko Afrika kusini kipindi cha utawala wa Mkaburu maeneo kama Hillbrow Johannesburg ambayo mtu mweusi alikuwa haruhisiwi kukanyaga, yalikuwa ni maeneo mazuri sana yenye madhari ya kuvutia na usalama. Lakini tangu mtu mweusi alivyoruhusiwa tu na yeye kuishi maeneo yale sasa hivi imekuwa ni kama jalala ndio sehemu yanapopatikana madawa ya kulevya,ukahaba na fujo zote za kila.

Ustaharabu ni kitu kimoja muhimu sana kuelekea kupata maendeleo ya kitu chochote.
Halafu hapo hapo anasingiziwa mzungu, nionavyo Mimi yangeanzishwa maombi Africa nzima yakuombea akili zetu kama Mungu alichomoa kitu humo basi kirudi maana si kwa akili hizi
 
Mtu anampa nyoka mbuzi, mzima, lakini akashindwa kumpa b'damu mwenzake nusu kilo tu ya mchele. Na huyu mtu anweza kujiita Muislam/Mkiristo.

Si kwamba ana mapenzi na huyo mdudu na hivyo anafurahia uwepo wake, la hasha! Afanya hivyo akidhani nyoka atamsaidia kutatua matatizo yake!
 
Hii notion ya kwamba sisi tuko hivi mpaka leo hii sababu ya kutawaliwa na mzungu mimi naikataa kabisa.

Mbona kuna jamii zingine nazo pia walitawaliwa na mzungu huyo huyo aliyetutawala sisi lakini wao wameendelea sawa na hao watawala mfano Australia na Japan?

Kwani wao waliweza vipi ku-restructure mifumo yao ya maisha kutoka kwenye ile walioachiwa na mkoloni hadi kupiga hatua kimaendeleo na kutuacha sisi nyuma?
USA nayo ilitawaliwa na mwingereza tatizo huku, angalia Tunisia, Algeria na Egypt kuna tofauti kidogo nasie huku, ushirikina/roho mbaya/wivu hapo humkosi mtu
 
Uthubutu lkn pia tuna akili za kidikteta km unavoona viongozi ktk karibu ngazi zote tz wanapractice udikteta wakimfuata role model wao jiwe
 
USA nayo ilitawaliwa na mwingereza tatizo huku, angalia Tunisia, Algeria na Egypt kuna tofauti kidogo nasie huku, ushirikina/roho mbaya/wivu hapo humkosi mtu
Ndio maana mimi nakataa kabisa hii notion ya kwamba etu sisi leo tuko hivi tulivyo sababu kuu ni ukoloni(kutawaliwa na mzungu) uliotukalia kwa kipindi kirefu.

Sasa mbona kuna watu wa mabara mengine nao pia walipata kutawaliwa na huyo huyo mzungu lakini leo wametupita kwa karibu kila kitu!?.. kwanzia uchumi,ustaharabu,teknolojia na hata kimichezo pia.

Kuwa mujibu wa chanzo kimoja kisichokuwa rasimi wakati sehemu nyingi duniani zikijiondoa kutoka kwenye mikono ya mkoloni miaka ya 1950s mambo yalikuwa hivi:

In 1950s
Extreme poor
-Africa 65%
-Asia 60%
-South America 65%

In 2015
Extreme poor
-Africa 60%
-Asia 30%
-South America 40%

Hivyo unaweza ukaona sisi almost bado tuko pale pale tu katika juhudi zetu za kujikwamua kwenye umasikini tofauti na Wenzetu ambao wako mbali sana.

Tatizo letu sio mkoloni bali ni sisi wenyewe. Huyu mkoloni tunamsingizia tu.
 
yaani tangia nijue wa Africa tuna low IQ nimekua na Amani kweli..,kumbe siko peke yangu.. 😅 😅 😅 ..

i guess IQ is genetic and some environment influences play part also..

Sasa low IQ has been passed to us genetically and we dont have Quality Education(environment influences)

This means we are doomed..

high IQ people means exploring your environment,see what you have discovered and come with ways to make life better for yourself and others

Ndio maana watu wenye High IQ kutoka bara la Asia wametuletea na wanaendelea kutuletea new technologies ..sababu their inquistive minds is met with relevant education...

Africa nini tumekigundua in terms of technology?lol

Tukiwatoa waafrica na kuwapeleka ulaya ni wastage of time as tuna low IQ to explore the environment tutakaa kama viazi..tu😅😅;)
 
Rebeca83

Hiyo IQ inapimwa kwa vigezo vipi?

Sababu je inapima kinachopasa kupimwa?

Je nini kinapaswa kupimwa?

Nani anaamua nini kipimwe wakati wa kupima IQ?

Anayepimwa aliwezeshwa vipi kuhimili atakachopimwa?

Tusijidharau kiasi hicho. Tunaweza kuwa bora kama tukiwa serious.

Tatizo ni elimu yetu imeshindwa kutupatia mbinu za kutatua changamoto zetu.

Na kutoka tulipo ni lazima tuwekeze hasa kwenye elimu yenye kuwezesha watu wetu kutatua changamoto zetu.

Yaani lazima tuwekeze kwenye elimu.

Hata elimu ya Kupendana tu tunashindwa kuitumiaa...Kuchomana moto na kuuana ndo jambo tuliloona la maana zaidi!! Uafrika ni laana.
 
Back
Top Bottom